The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
You’re right!Kuongoza taifa siyo sawa na kupika au kufua nepi. Kunataka jabali tena mwenye elimu, busara, na akili timamu.
Tanzania, tumejaliwa kila kitu ila huyo hapo juu. Uongo umegeuzwa uongozi. Upigaji dili umegeuzwa maadili. Ndiyo maana tunapata watawala wa hovyo kama hawa. Kweli CCM mmejua kututenda. Mmetuua na kutuita wageni.
Kama kweli wageni ndiyo walifanya maandamano, mnataka kujadiliana na nani? Mbona hatuonyeshwi hao wageni na kutajiwa majina yao. Kama kuna wageni, basi waliosababisha 'wageni' kufanya maandamano, ndiyo wageni.
Kama waliofanya maandamano si watanzannia, sijui waliowachochea kwa ubinafsi, ufisi, ufisadi, na uchafu mwingine tuwaiteje? Ni vibaya sana kujidanganya halafu ukawadanganya na wengine nawe ukiwamo. Gen Z siyo kizazi cha Nyerere wala Karume.
Wamesoma na wanaelewa mambo. Wana mtandao kama silaha yao. Ukiwaua, huwezi kuficha uzandiki wako.
Nawahimiza CHADEMA wasikubali kugeuzwa taulo la kufutia damu ya Samia. Kama majadiliano, wakajadiliana na yule mgeni toka DRC, Zitto Kabwa na mwenzake Hashim Rungwembwa.
Afanye hayo maridhiano na nafsi yake ya kishetani that daughter of the morning. MSP!You’re right!
Kwanza kashinda kwa kupata 98% ya kura zilizopigwa. Mtu kama huyo anahitaji maridhiano gani tena?
Trump alishinda kwa 49.8% popular votes, lakini hajawahi kutafuta maridhiano yoyote. Iweje yeye anayependwa kiasi hicho atafute maridhiano? Idiot par excellence!
Muulize samuyaJirani zangu watatu ambao nikitoka nje tunaonana walipigwa risasi wakafa hapa mianzini, sasa najiuliza mbona sio wageni bali ni watanzania kabisa tumeishi nao miaka mingi?
Kila afanyalo au asemalo haliendani kabisa na ushindi wake.You’re right!
Kwanza kashinda kwa kupata 98% ya kura zilizopigwa. Mtu kama huyo anahitaji maridhiano gani tena?
Trump alishinda kwa 49.8% popular votes, lakini hajawahi kutafuta maridhiano yoyote. Iweje yeye anayependwa kiasi hicho atafute maridhiano? Idiot par excellence!
Nani kakwambia anataka maridhiano?Kuongoza taifa siyo sawa na kupika au kufua nepi. Kunataka jabali tena mwenye elimu, busara, na akili timamu.