USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Moderaters hii ya kutukana viongozi wetu wa kitaifa haikubalikiFcauk her.
USSR
Moderaters hii ya kutukana viongozi wetu wa kitaifa haikubalikiFcauk her.
Wote hao ni haramu.
Kwa kauli ya Rage leo, nahisi wanaanda namna ya kumzima mazima.Watamnyang'anya kadi?
Hivi Iran hawawezi elekeza kombora hata moja kuelekea chamwino?
Chamwino tena? Sema kizimkazi.Hivi Iran hawawezi elekeza kombora hata moja kuelekea chamwino?
Ningekuwa mlipaji mpiga picha asingepata malipo kwa KAZI aliyofanya.ama mie ninashida ya macho kuona?Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi
===============
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dar Es Salaam leo, Jumatano tarehe 26 Agosti 2026.
Au TunguuChamwino tena? Sema kizimkazi.
USSR ni vizuri kupenda unyoofu ila unyoofu hauji kwa bahati,hivyo ni vyema kujua visababishi vya Hali hii,vinginevyo hao unawapa wakati mgumu Bila sababu!Moderaters hii ya kutukana viongozi wetu wa kitaifa haikubaliki
USSR
Natamani ardhi ingefunguka na kukimeza hicho chumba wanachofanyia kikao chao hawa mumiani, nchi ingelipuka kwa shangwe kubwa sana.Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi
===============
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dar Es Salaam leo, Jumatano tarehe 26 Agosti 2026.
Mkusanyiko wa watu wa hovyo kabisa ndani ya taifa hili!Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi
===============
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika jijini Dar Es Salaam leo, Jumatano tarehe 26 Agosti 2026.
Samia ni tatizo kubwa sana hata zaidi ya huyo "mke wa mtu".Baba yangu aliwahi niambia, ukiona mtu hata kama ni mkeo, kila mtu kwake mbaya. Kila mtu anamlalamikia, kila mtu anakosana nae, jua mkeo ni tatizo! 😊
Ndio sawa na huyu mama; Kamfurusha Ndugai, kamkabia juu Bibi kishingo (Tulia), kamstaafisha Mpango, Biteko kaachwa kwenye mataa, Kupata ni Majaaliwa akataka kuleta shobo, kaambiwa astaafu kwa heshima. Anko Nchimbi mtu mzuri tuu, kashatibuana nae, hata mwaka haujaisha. 😊
Chamwino tena!Hivi Iran hawawezi elekeza kombora hata moja kuelekea chamwino?