Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Yote hayo tisa, bajeti ya safari ZA ndani na nje za viongozi ni Shs Trillion 1 Sawa na Dola milioni 379 za Kimarekani (Bajeti nzima ya Comoro ni US$ 276 million)! Wizara ya Kilimo ni Tri 1.9 Wizara ya maji ni Bilioni 898!
Matumizi ya Kila siku ni Tshs. TRILIONI 39 Ama ya maendeleo ni Trilioni 17 !

Halafu watudanganya na 2050!
 
Ningekuwa mlipaji mpiga picha asingepata malipo kwa KAZI aliyofanya.ama mie ninashida ya macho kuona?
 
Moderaters hii ya kutukana viongozi wetu wa kitaifa haikubaliki


USSR
USSR ni vizuri kupenda unyoofu ila unyoofu hauji kwa bahati,hivyo ni vyema kujua visababishi vya Hali hii,vinginevyo hao unawapa wakati mgumu Bila sababu!
 
Natamani ardhi ingefunguka na kukimeza hicho chumba wanachofanyia kikao chao hawa mumiani, nchi ingelipuka kwa shangwe kubwa sana.
 
Mkusanyiko wa watu wa hovyo kabisa ndani ya taifa hili!

Inafaa kuwatambua kwa majina watu waovu hawa; kila mmoja wao tumjue mchango wake katika maovu wanayofanyiwa waTanzania.
 
Samia ni tatizo kubwa sana hata zaidi ya huyo "mke wa mtu".

Samia hajutii lolote hata pale inapodhihirika kuwepo kosa katika uamzi wake. Huyu ni shetani mwenyewe akiwa kwenye kiwiliwili cha mwanamke.
 
Hvi makamu naye anahudhuria hiki kakao
 
Wauaji wanaingia kwenye kikao. Wapuuzi watupu wenye uchu wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…