GE2025 Samia asitisha hotuba kwa dakika 1 kupisha Adhana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
 
Wabongo Bwana

Huu utamaduni tulikuwa hatuna, alieanzisha ni Uhuru Kenyatta kwenye msiba wa magufuli

Kuanzia hapo kila kiongozi amecopy
 
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
So?
 
Back
Top Bottom