GE2025 Samia asitisha hotuba kwa dakika 1 kupisha Adhana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akipiga chafya, au kujikuna; uje pia kuanzisha uzi! Maana siyo jambo la kawaida kwake kufanya hivyo.
 
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
Bi nywi nywi nywi alama mnafiquna thalatha.
 
Siku akibanwa akasimamisha hotuba ili aende kunya njoo utulete pia post! Hakikisha unanitag
 
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
Anapisha adhana? Kwamba ana hofu ya Mungu? Vipi ufisadi, mauaji na utekaji Mungu anapenda?

Utter nonsense
 
Rais ruto wa kenya ni mkristu lakini alisitisha hotuba kwa dakika kadhaa kupisha adhana hiyo ni dalili ya uungwana
 
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
Shida sio kusimamisha Hutuba. Shida kwann hakwenda kufanya Ibada.....?
Kwahyo siasa n bora kuliko Swala...?
 
Asisitishe na matamasha ya kuzunguka na wasanii aliyoyapachika jina la kampeni.
 
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
Silipendi jimama
 
Back
Top Bottom