Ndipo akili zao wengi zinapoishiaWatanzania namna walivyozoea kujadili vitu ordinary...
Huu ujinga mpaka akisimamisha kujamba mtakuja kutuandikia humu, stupidHili nalo mkalitazame
PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
So?PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na kujali imani za wananchi.
Stupid mwenyeweHuu ujinga mpaka akisimamisha kujamba mtakuja kutuandikia humu, stupid
ππHili nalo mkalitazame
Mboni mimi sijakutemea wewe cheche Mzee vipi?Stupid mwenyewe
Kamtemee cheche aliyeanzisha uzi pimbi wewe