Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa

Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa

Na vipi umewahi kushuhudia uporaji, uharibifu wa Mali na wizi wa namna ile?!!!
Umewahi kujiuliza kwanini kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani?

Hata hapa JF/nchini, kenge hamkosekani

Ni kama hivi tu....watu wengi wameandamana,obvious waharifu hawawezi kukosekana,lakini haibadilishi ukweli kwamba waliotumwa kufanya mauwaji wametumwa na huyo mtu
 
Pia haiondoi ukweli kuwa waliopora, kuharibu Mali za watu na kujeruhi walitumwa na 'watu flani'.....hilo liko wazi na Sasa baada ya kuchemka kwa Nia yao mbovu wanatoa milio Kila pembe katika nyumba zao za 'ibada'.
 
Ataenda sema tu atakwepa international press conference kwa gharama zozote zilem hatokubali kuhojiwa maswali magumu
 
Back
Top Bottom