Samia baada ya kuupiga mwingi sasa anacheza nje ya Uwanja kabisa

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.

Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa povu.

Mashabiki wanamshangilia. Wachezaji wengine wamekaa au kusimama wakiwa wameshika tama au viuno maana hata kumkaba wanaona wanapoteza muda. Mtu anakimbia na mpira kuelekea golini kwake. Anaenda anafunga. Halafu anajianzishia mpira anakimbia anazunguka goal anarudi anatimua mbio.
 
Jana TBC digital waliweka swali kuuliza wananchi kama wamejiandikisha kwenye daftari la mpiga kura..aisee hizo comments zinafikirisha.
 
Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.

Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa povu.

Mashabiki wanamshangilia. Wachezaji wengine wamekaa au kusimama wakiwa wameshika tama au viuno maana hata kumkaba wanaona wanapoteza muda. Mtu anakimbia na mpira kuelekea golini kwake. Anaenda anafunga. Halafu anajianzishia mpira anakimbia anazunguka goal anarudi anatimua mbio.
Lucas Mwashambwa. Umepotelea wapi? Au CHAUMA wamepanda DAU? Kuna nyuzi huku zinasubiri Comments zako.
Ngoja tuone kama atakuja🤣🤣🤣
 
Tuseme ukweli kama nchi hatuna raisi
CCM hawakujua kuwa lile sukuma lingevuta likiwa madarakani na ilivyotokea wenye akili walitaka kukiuka katiba kwa masilahi ya nchi lkn lawama zote apewe CDF mstaafu kweli amejua kujidhalilisha nchi Hadi mataifa ya nchi yanaishia kutucheka na kutuhurumia

Sijui Hadi October atajeruhi na kuua wangapi
 
Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.

Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa povu.

Mashabiki wanamshangilia. Wachezaji wengine wamekaa au kusimama wakiwa wameshika tama au viuno maana hata kumkaba wanaona wanapoteza muda. Mtu anakimbia na mpira kuelekea golini kwake. Anaenda anafunga. Halafu anajianzishia mpira anakimbia anazunguka goal anarudi anatimua mbio.
Labda mambo yawe mabaya saana
 
CCM hawakujua kuwa lile sukuma lingevuta likiwa madarakani na ilivyotokea wenye akili walitaka kukiuka katiba kwa masilahi ya nchi lkn lawama zote apewe CDF mstaafu kweli amejua kujidhalilisha nchi Hadi mataifa ya nchi yanaishia kutucheka na kutuhurumia

Sijui Hadi October atajeruhi na kuua wangapi
Msukuma? Bujumbura!
 
Back
Top Bottom