Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Lucas Mwashambwa. Umepotelea wapi? Au CHAUMA wamepanda DAU? Kuna nyuzi huku zinasubiri Comments zako.Kwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.
Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa povu.
Mashabiki wanamshangilia. Wachezaji wengine wamekaa au kusimama wakiwa wameshika tama au viuno maana hata kumkaba wanaona wanapoteza muda. Mtu anakimbia na mpira kuelekea golini kwake. Anaenda anafunga. Halafu anajianzishia mpira anakimbia anazunguka goal anarudi anatimua mbio.
CCM hawakujua kuwa lile sukuma lingevuta likiwa madarakani na ilivyotokea wenye akili walitaka kukiuka katiba kwa masilahi ya nchi lkn lawama zote apewe CDF mstaafu kweli amejua kujidhalilisha nchi Hadi mataifa ya nchi yanaishia kutucheka na kutuhurumiaTuseme ukweli kama nchi hatuna raisi
Labda mambo yawe mabaya saanaKwa kauli zake tunafikia wakati hata kumtetea tunajisikia aibu. Tunakaa tunajipanga. Kwa sasa haupigi mwingi tu.
Anacheza nje ya uwanja kabisa. Kisha anajifunga. Mashabiki wanamshangilia sana. Anapofunga golini mwake. Anakimbia na mpira mpaka nje anaendelea kukimbia tu huku akihema na kutokwa povu.
Mashabiki wanamshangilia. Wachezaji wengine wamekaa au kusimama wakiwa wameshika tama au viuno maana hata kumkaba wanaona wanapoteza muda. Mtu anakimbia na mpira kuelekea golini kwake. Anaenda anafunga. Halafu anajianzishia mpira anakimbia anazunguka goal anarudi anatimua mbio.
Msukuma? Bujumbura!CCM hawakujua kuwa lile sukuma lingevuta likiwa madarakani na ilivyotokea wenye akili walitaka kukiuka katiba kwa masilahi ya nchi lkn lawama zote apewe CDF mstaafu kweli amejua kujidhalilisha nchi Hadi mataifa ya nchi yanaishia kutucheka na kutuhurumia
Sijui Hadi October atajeruhi na kuua wangapi