Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

Waganga na waganguzi wanasema ukitaka kumuua mchawi, KATA KIVULI CHAKE! Ahahahahaha!!!
 
Gamalilei akawambia wenzake, kama kazi za mtu huyu ni za kibinadamu tu zitavunjika, La! Kama katumwa na Mungu mwacheni isije kuonekana tunapingana na Mungu.

Matendo: 5:34
 
Nikiona tu mtu anatumia nguvu kuuubwa eti "lissu ni akili kubwa" basi namdharau sana na usomaji wa Uzi unaishia hapo. Serikali naomba iingilie kati na kuwapima marinda haraka hawa wanaume wote wanaotamka hivi. Wanatuharibia watoto.
Haters
 
“kama 'aliyepewa muda' hataanza hili, inaweza kuwa 'too late' kwake”
 
Hapo watakimbilia karata ya amani over decency.

Yaani wafanye uhuni kwenye uchaguzi halafu wakiambiwa nguvu ya umma kwa siri inataka mabadiliko huwa wanakimbilia amani ya nchi.
 
hapa ndio kwangu kwenye kiswahil. ila nimeshindwaa kwa haraka kujua adhaniae amesimama...
mwendatez na omo..penye udhia...
wastara ....
pambanizamtonga maji ya dafu kuoshea Donda
 
Amani ya matumbo yao amani haitokani na haki nachojua haki ndo inaleta amani
 
Hii nchi ingekuwa na watu kama wewe 1000 tu tungefika mbali sana.
 
Ni sema kwa dhati kabisa kuwa nawe ni Mjumbe mwenye kuubeba Ujumbe.Ujumbe wako usikilizwe mwenye macho naatazame na mwenye masikio naasikia,Nawatakieni nyote maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.
 
Huna kazi ya kufanya mpk upate muda wa kuandika haya matope? Tafuta kazi siasa za vitisho hazina nafasi ndani ya nchi yetu.
 
A rotten rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…