Samia, CCM na Polisi someni alama za nyakati, Lissu ni mjumbe tu, ni kivuli kile!

Kisikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani/Masikioni
 
Magufuli alichelewa kujua watu waliomzunguka ndio walikuwa hatari kuliko hata aliokuwa anawawimda.

Hivi mfano mimi nikijua wewe una pumu na nitaweza kukubalia uende kwenye sehemu ambayo itakuletea changamoto katika mfumo wako wa upumuaji?
 
Kumanina zako we, acha kumuhusisha Muumba wetu na huo unafiki wenu pumbavu wewe.
😳🤔😃😃😃😃Machawa hua mnakua wajinga wajinga sana.jibuni hoja acheni vitisho na matusi.😃😃eti Muumba wetu na unatukana...kenge mtatutakana sana mwaka huu🚮🚮
 
😳🤔😃😃😃😃Machawa hua mnakua wajinga wajinga sana.jibuni hoja acheni vitisho na matusi.😃😃eti Muumba wetu na unatukana...kenge mtatutakana sana mwaka huu🚮🚮
Hoja ni ipi hapo mkuu?!!
 
Umesahau methali hii pia isemayo:

"Avaaye na asijisifu kama avuaye".
 
Kaka hakika umenikumbusha,kitabu kimoja nilicho soma zama hizo. Uko sahihi. Umefikiaha ujumbe kwa umakini. Ila je wanajua kutafsiribjumbee? Tusuburi tuone
 
wanamacho hawaoni wanamasikio hawasikii wanabongo hawatafakari ccm majizi tu
 
Umeongea maneno kuntu sana mkuu,ni ujumbe mzito huo,waliosikia wamesikia.
 
Naunga mkono hoja hii asilimia 💯
Andiko hili litakuja kueleweka vizuri baada ya October 2025. 👍
 
Kuita ACT Chama Cha kipuuzi ni ishara kuu ya kutoelimika, kukosa akili na ubaguzi uliowajaa wafuasi wa chadema na viongozi wao. Hili lichama likishinda naapa kwa Mungu vyama vingine havitokuwa na nafasi. Mungu aendelee kuwalaani washenzi hawa!!
Unauona uwezekano wa Chadema kushinda bila reforms na tume huru ya uchaguzi?

Chadema inashindaje bila kushiriki uchaguzi wa 2025? 😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…