Samia Hakufaa si tu kuwa Rais bali hata uwaziri hawezi

Samia Hakufaa si tu kuwa Rais bali hata uwaziri hawezi

Watanzania kila siku iendao kwa mungu tunalalamika lakini bado ni rais, na kamwe hatutaweza kumtoa mpaka 2030. Save this comment
 
Tatizo watu wa pwani mnahonga sana mkajisahau mmeonga mpaka inchi tulieni tufurahi
 
Hata kuwa monitor wa chekechea hawezi bado.

We endelea kula makebo singapore.
 
ChoiceVariable anaamini ndio rais bora kuwahi kutokea Tanzania!
Nashawishika kuanzisha mada ya kuchambua makundi ya watu wanaomuunga mkono Samia.
Hawa watu, ni mambo yapi hasa yanafanya wagande na Samia hata akifanya mabaya kiasi gani?
Chukulia mtu kama Luca Mwashambwa, au Tlaatlaah, au Stuxnet; Steven Joel Ntamusana, stroke na wengi wengine, ni sifa zipi alizonazo Samia zinazowavuta wote hawa kwake?

Najuwa anazo sifa chache ambazo zipo wazi; kama dini yake, au uwezo wa kununua baadhi yao, au maslahi ya ajira/vyeo, n.k.

Wote hawa najuwa wanafiti katika kila kundi kati ya hayo niliyoyataja na mengineyo. Inaniwia vigumu kufikiri kuwa wapo ambao wanampenda na kumtetea Samia kwa sababu ya uwezo wake wa kuitumikia Tanzania na kulinda maslahi ya watu wake.
Kama wapo, itabidi nichambue maoni ya michango yao mbalimbali humu Jukwaani kuona uamini wao huo.
 
Mkuu wewe endelea kudanga huko Ulaya.
Tanzania tunabahati ya kupata marais wazalendo kwelikweli huwa wanasimama kidete kuilinda amani ya Tanzania.
NB: Rais Bora ni yule anayelinda aman ya nchi na watu wa Taifa lake full stop
 
Back
Top Bottom