Wapo watu ambao, majini na shetani ni miungu yao. Labda hiyo ndiyo inayofaidika na damu za wanaowateka na kuwaua. Na wanaitegemea hiyo miungu katika uovu wao.Huyo mungu anaemuongelea ni mungu gani?....mnaua watu na bado mna nguvu ya kutamka neno Mungu nafikiri huyo ni mungu wa msata...
Komamandamakozakoyamewashinda wenyewe kuingia kwenye mashindano wasiharibu upigaji wa kura
!?Komamandamakozako
Imeishahio ongeza nyingine
Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.
===================
Mgombea Urais kupitia CCM, Samia amesema siku ya kupiga kura hakuna tishio lolote la usalama watu wajitokeze wakapige kura na kuwataka Wananchi wasikubali kutishwa.
View attachment 3480488
Wizi wa kura
Watu wameshadharau huu uchafuziPamoja na kuwabeba ktk maroli na kuwapa posho ya kuhudhuria kampeni
Idadi ya wapiga kura itakuwa wachache sana
Huyu bibi hivi huwa hajishtukii?
Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.
=================
"Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende pamoja, mpitie na jirani yako na jirani yako mwambie twende pamoja. Balozi wa nyumba 10 pitia nyumba zako wambieni twende pamoja.
Ninalotaka kuwahakikishia, hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama, tumejipanga vizuri mno, hakutakuwa na tishio la kiusalama, asitokee mtu kuwatisha, tokeni mkapige kura, yamewashinda wenyewe kuingia kwenye mashindano wasiharibu upigaji wa kura",- Dkt. Samia.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Msata mkoani Pwani kwenye mkutano wa kampeni Jumapili Septemba 28, 2025.