AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.
=================
"Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende pamoja, mpitie na jirani yako na jirani yako mwambie twende pamoja. Balozi wa nyumba 10 pitia nyumba zako wambieni twende pamoja.
Ninalotaka kuwahakikishia, hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama, tumejipanga vizuri mno, hakutakuwa na tishio la kiusalama, asitokee mtu kuwatisha, tokeni mkapige kura, yamewashinda wenyewe kuingia kwenye mashindano wasiharibu upigaji wa kura",- Dkt. Samia.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Msata mkoani Pwani kwenye mkutano wa kampeni Jumapili Septemba 28, 2025.
Huyu naona kila mahali anakiona kivuli cha CHADEMA kinacho mtisha sana., yamewashinda wenyewe kuingia kwenye mashindano wasiharibu upigaji wa kura"
Yeye mwenyewe alijitangaza kuwa "Chura Kiziwi", watu watamuamini vipi kuwa kweli anausikia ukweli unaozungumzwa na waTanzania!Ninalotaka kuwahakikishia, hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama, tumejipanga vizuri mno, hakutakuwa na tishio la kiusalama, asitokee mtu kuwatisha, tokeni mkapige kura
mUngu wa wahuni!Huyo mungu anaemuongelea ni mungu gani?....mnaua watu na bado mna nguvu ya kutamka neno Mungu nafikiri huyo ni mungu wa msata...
Huyu Jambazi kweli kachanganyikiwa kabisa sasa; hata mbinu za kulazimisha watu kuwapeleka vituoni kazitoa nje nje!tunasema twende pamoja, mpitie na jirani yako na jirani yako mwambie twende pamoja. Balozi wa nyumba 10 pitia nyumba zako wambieni twende pamoja
Kwa uzoefu walinda usalama ndio waanzisha chokochoko,sasa sijui hiyo wakati watafanya kama kawaida yao ama tofauti?Nacheka kama mazuri ,acha inyeshe tujue wapi panavuja
Atakuwa siyo huyu tumujuaye, a strange god obviouslyHuyo mungu anaemuongelea ni mungu gani?....mnaua watu na bado mna nguvu ya kutamka neno Mungu nafikiri huyo ni mungu wa msata...
No Reforms No ElectionMtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.
=================
"Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende pamoja, mpitie na jirani yako na jirani yako mwambie twende pamoja. Balozi wa nyumba 10 pitia nyumba zako wambieni twende pamoja.
Ninalotaka kuwahakikishia, hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama, tumejipanga vizuri mno, hakutakuwa na tishio la kiusalama, asitokee mtu kuwatisha, tokeni mkapige kura, yamewashinda wenyewe kuingia kwenye mashindano wasiharibu upigaji wa kura",- Dkt. Samia.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Msata mkoani Pwani kwenye mkutano wa kampeni Jumapili Septemba 28, 2025.
ππππ October tunatokaMtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi.