The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
kumbuka fisi wanaumana wenyewe we jifariji hata wahuni wakikosa wahuni wanatafutana wahuni waje wakupasuwe marinda mpezi wa CCM.Unamsusia fisi mzoga susa
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu
Unamfananisha Salum Mwalimu na Braza K mapovu?
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Sio mana yangu mkuu nataka agombee ila aweke tume wananchi wanaitaka then aruhusu kila chama kigombee. Shukrankwa hiyo ulitaka asigombee urais?
Hoja hapa sio Samia ila ni kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki ili wananchi wachague kiongozi wanaemtaka.Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Aone aibu gani ilhali hao ndo saizi yake!Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Kwani Baba wa Taifa alikuwa akishindana nanani.miaka yake 25 ???Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Yaani ww kweli zombie sasa enzi za Nyerere kulikua na uchaguzi wa urais kwaniKwani Baba wa Taifa alikuwa akishindana nanani.miaka yake 25 ???
Iwe zambi kwa kina Salim Mwalim na Mpina. Nk