Samia haoni aibu kushindana na Mpina na Salim Mwalim

Samia haoni aibu kushindana na Mpina na Salim Mwalim

Hoja hapa sio Samia ila ni kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki ili wananchi wachague kiongozi wanaemtaka.

Unaposema Samia asigombee na Salim Mwalimu hizi ni dharau za kiwango Cha juu kwa Salim Mwalimu na chama chake.
Tuende mbele turudi salim mwalim hana vigenzo, sifa wala muonekano wa kuwa rais tena wa JMT ni hivo tu linaloingia mjini si haram na pale chaumma hmna mtu
 
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.

..Salum Mwalimu ni mjenga hoja mzuri kuliko Samia Suluhu.

..Samia yeye kila kitu anaandikiwa hawezi kutoa jambo lolote kichwani.
 
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Hao ndiyo saizi yake, TAL ni level nyingine sheikh.
 
1754932097376.jpeg
 
kumbuka fisi wanaumana wenyewe we jifariji hata wahuni wakikosa wahuni wanatafutana wahuni waje wakupasuwe marinda mpezi wa CCM.
Kabla hawajafika kwangu nitakua nimeshakupasua marinda wewe siku nyingi
 
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
inamhusu nini yeye? kwamba nani anagombea nae haimhusu yeye,hata hivyo kwani hao uliowataja hawana haki ya kugombea?
 
Upo sahihi kwa hoja yako, Ila kumsema Samia kama ndo anapaswa kuona aibu ni kumuonea tu.
CCM tangu 2019 walifanya maigizo mengi tu bila aibu yoyote, 2020 wakatia fora, japo walikuwa na upinzani wa Chadema,
Sasa mwaka huu Chadema kagomea uchaguzi na wanataka kuzuia, kwanini unataka Samia aone aibu?
Tunahitaji reforms lakini Samia mwenyewe hawezi hata siku moja kufanya hiyo reform.
Maana nyuma yake kuna watu wengi sana wasiohita reforms
Kwahiyo hujui kama Samia ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu?

Eti nyuma yake kuna watu!! Hao walio nyuma yake wamepewa nguvu ya Kimamlaka na nani?

Huna akili
 
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Sasa hivi kaongezeka na cheyo yupo hoi kiafya lakini kaona bado ana nafasi ya kumshinda Samia ni burudani tupu.dharau za hali ya juu sana.
 
Upo sahihi kwa hoja yako, Ila kumsema Samia kama ndo anapaswa kuona aibu ni kumuonea tu.
CCM tangu 2019 walifanya maigizo mengi tu bila aibu yoyote, 2020 wakatia fora, japo walikuwa na upinzani wa Chadema,
Sasa mwaka huu Chadema kagomea uchaguzi na wanataka kuzuia, kwanini unataka Samia aone aibu?
Tunahitaji reforms lakini Samia mwenyewe hawezi hata siku moja kufanya hiyo reform.
Maana nyuma yake kuna watu wengi sana wasiohita reforms

Kabisa, kumshutu Samia moja kwa moja ni kichekesho. Hakuna mwana CCM anaetaka reforms including TISS na JWTZ amabao wote ni wanufaikaji wa mfumo. Samia hana uwezo wa kupamabana na hio mifumo kwenye hilo. kumbuka akiwa makamo wa raisi alitaka kujiuzulu tu na akashindwa.
 
Ila uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni aibu sana, tena sio kidogo... kitendo cha chama tawala kutokuyaweka sawa na chama kikuu cha upinzani ni doa kubwa sana kwenye siasa za Tanzania.
 
Hii nchi mlitaka mpe mama TAL kwa Nchi hakuna wa kusimama na Lissu mifano iko mingi sana kipindi cha Mkapa alikua mkosoaji mkubwa mpaka akakimba tena kwa hoja nzito JK bora Dr slaa kua Rais sio Lissu kua Mbunge watu wenye akili wanajua Lissu ni nani ana ushawishi kiasi gani Kiufupi Lissu nyamongo alijitolea kua wakili wa bure kusaidia watu. Lisuu nashangaa wanaosema Lissu ana tamaa na Madaraka nabaki Lissu akimua kwenda CCM anaweza pata chochote anachotaka hata Masaju Jaji Mkuu anamfahamu Lissu vizuri tafuta clips Masaju akiwa mwanasheria mkuu Bungeni na Lissu
 
Back
Top Bottom