The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
- Thread starter
-
- #21
Tuende mbele turudi salim mwalim hana vigenzo, sifa wala muonekano wa kuwa rais tena wa JMT ni hivo tu linaloingia mjini si haram na pale chaumma hmna mtuHoja hapa sio Samia ila ni kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki ili wananchi wachague kiongozi wanaemtaka.
Unaposema Samia asigombee na Salim Mwalimu hizi ni dharau za kiwango Cha juu kwa Salim Mwalimu na chama chake.
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Hao ndiyo saizi yake, TAL ni level nyingine sheikh.Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Kabla hawajafika kwangu nitakua nimeshakupasua marinda wewe siku nyingikumbuka fisi wanaumana wenyewe we jifariji hata wahuni wakikosa wahuni wanatafutana wahuni waje wakupasuwe marinda mpezi wa CCM.
inamhusu nini yeye? kwamba nani anagombea nae haimhusu yeye,hata hivyo kwani hao uliowataja hawana haki ya kugombea?Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Kwahiyo hujui kama Samia ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu?Upo sahihi kwa hoja yako, Ila kumsema Samia kama ndo anapaswa kuona aibu ni kumuonea tu.
CCM tangu 2019 walifanya maigizo mengi tu bila aibu yoyote, 2020 wakatia fora, japo walikuwa na upinzani wa Chadema,
Sasa mwaka huu Chadema kagomea uchaguzi na wanataka kuzuia, kwanini unataka Samia aone aibu?
Tunahitaji reforms lakini Samia mwenyewe hawezi hata siku moja kufanya hiyo reform.
Maana nyuma yake kuna watu wengi sana wasiohita reforms
Sasa hivi kaongezeka na cheyo yupo hoi kiafya lakini kaona bado ana nafasi ya kumshinda Samia ni burudani tupu.dharau za hali ya juu sana.Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Upo sahihi kwa hoja yako, Ila kumsema Samia kama ndo anapaswa kuona aibu ni kumuonea tu.
CCM tangu 2019 walifanya maigizo mengi tu bila aibu yoyote, 2020 wakatia fora, japo walikuwa na upinzani wa Chadema,
Sasa mwaka huu Chadema kagomea uchaguzi na wanataka kuzuia, kwanini unataka Samia aone aibu?
Tunahitaji reforms lakini Samia mwenyewe hawezi hata siku moja kufanya hiyo reform.
Maana nyuma yake kuna watu wengi sana wasiohita reforms
Yaani ww kweli zombie sasa enzi za Nyerere kulikua na uchaguzi wa urais kwani
Ulitaka agombee babaako?Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Hapana sio baba nilitaka Chadema madai yao yasikilizwe ili kuwe na upinzani haswa. ShukranUlitaka agombee babaako?
CCM hatuna aibuNimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Hapa ndio watanzania tunapofeli tunapohisi kwamba kila mtu anafaa kua kiongoziinamhusu nini yeye? kwamba nani anagombea nae haimhusu yeye,hata hivyo kwani hao uliowataja hawana haki ya kugombea?
Baba wa Taifa alikua akishindana na UKUTAKwani Baba wa Taifa alikuwa akishindana nanani.miaka yake 25 ???
Iwe zambi kwa kina Salim Mwalim na Mpina. Nk
Ulikuwepo uchaguzi wa Rais alikua anashindana na UKUTAYaani ww kweli zombie sasa enzi za Nyerere kulikua na uchaguzi wa urais kwani