Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Ndugu kwa hilo wananchi kulisahau sahau!Wananchi watasahau kesho tu!kama walivosahau loliondo na na ngoro ngoro!!
Cha kujiuliza tangu tumeanza kubinafsisha tumepata hasara kiasi gani na faida kiasi gani na wenye mamlaka kama waliona hakuna faida wasingeruhusu mikataba KUENDELEA!!!kwakua hao wenye mamlaka walikaa kimya basi waliona faida inayopatikana!!!!
Mimi naamini kisiasa Rais ni top ila kiusalama wa nchi Rais no mdogo,kama wenye mamlaka ya kuweka Rais wanaona huyu sio anatukosea wangemtoa kabla hata Bunge halijapitisha makubaliano!!
Inaumiza sana!60mils tumeingizwa Dubai portal potty kwa huo mkataba.
Ni wakati wa kumeza kimya kimya.
Hapendwi,
+
Haaminiki
+
Na hana uwezo.
Ikiuma inachomolewa.Inaumiza sana!
Lini ulimwini?Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!
Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.
La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.
Loliondo kipindi cha Mwinyi huko media za chama na serikali..people awareness ilikuwa ndogo sana/haipo..usilinganishe za zama hizi nduguWananchi watasahau kesho tu!kama walivosahau loliondo
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!
Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.
La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.
CCM-CHUKUA CHAKO MAPEMAHilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!
Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.
La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue limemtia doa kuu boss wao.
Huna akili!Akili hizi za kumsikiliza Tundu Lissu na kuwa brainwashed, ni ngumu kuelewa..
Umeusoma ule mkataba vizuri na umeelewa sehemu gani ina tatizo kidogo pa kurekebisa? Sbb ikiwa hujui chochote, bora kukaa kimya, huwezi pata mwekezaji wa kisasa kwenye Bandari kama DP World, ndio kampuni sahihi sana.
Vifungu sana sana viwili au vitatau tu vya kurekebisa,
1: Muda wa Mkataba uwekwe wazi labda miaka 33, kama mkataba utaenda vizuri wataongeza
2: Watu wetu wa TEHAMA nao wawe involved ktk system mpya ya mapato ya Bandari, ili mapato halisi yajulikane na investment cost halisi iwe wazi na tuweze kujua mapato halisi ili serikali ipate haki yake na mwekezaji apate haki yake.
3: Ajira za wazawa ni jambo muhimu sana, kwani Waziri kaweka wazi ajira zitaongezeka, hili ni suala la kuangalia kwa makini, kwani mwekezaji nae atataka watu wake wengi waje wasimamie, hivyo utaratibu mzuri kabisa uwepo wazi juu ya ajira ya pande zote, ni uwekezaji mzuri kabisa, tuache siasa mbovu za kishabiki