4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Acheni habali zenu Bwana msituzingue hapa, ungesema anatekeleza ilani ya chama Chake ungeeleweka, eti yeye ndo anapanga , inawezekanaje mtu mmoja akaweza wapangia watanzania mil 60,Yeye ndio mfanya maendeleo yeye ndo mtekelezaji bila kupitisha yeye kitu hakifanyiki
Mama ana mpango wa kujimilioisha nchi. Kwanini anatia jina lake kwenye hizi kazi ambazoa anapaswa kuzisimamia na zinazotumia fedha ya serikali ??Nilidhani ni ile Samia Scholarships; kumbe Kuna SHS tena!