4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Acheni habali zenu Bwana msituzingue hapa, ungesema anatekeleza ilani ya chama Chake ungeeleweka, eti yeye ndo anapanga , inawezekanaje mtu mmoja akaweza wapangia watanzania mil 60,Yeye ndio mfanya maendeleo yeye ndo mtekelezaji bila kupitisha yeye kitu hakifanyiki
Msiwe mnajitoa hufaham Bwana, huyo anatekeleza Kama kiongozi mkuu wa serikali chini ya mkataba au ilani Kati ya chama chenu na wananchi, mnapenda siasa wakati siasa haiwapendi hata vitu vidogo hamuwezi elewa, sifa,sifa mpaka WENDA mwenyekiti wenu huwa anawashangaa