Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
It shocking low IQ ndio wanapewa madaraka what the hellTuna rais mwenye low level of thinking kwa kiwango cha SGR, akipanua mdomo wake anaongea pumba tupu (mipasho na vijembe)
It shocking low IQ ndio wanapewa madaraka what the hellTuna rais mwenye low level of thinking kwa kiwango cha SGR, akipanua mdomo wake anaongea pumba tupu (mipasho na vijembe)
Hana akili ya kujua hayoRais wenu hata Hajui hapo keshafanya Bure tangazo la biashara lenye thamani ya mamilioni.
Mara wanyonge mara sio wanyonge.
So hajui kuwa anafanya matangazo ya Azam? Duh huyu, anyway Azam pia ni ndugu zake so wanajuanaMgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu.
"Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe kwa fujo,...kukiwasha kwa fujo hapana!"