Ww ndio unatoa hela ,kuipokesha serikali kushirikiana na TARURA ambapo Hela Yako kupitia hii bond itasaidia ujenzi wa miundombinu kwa miaka maximum mi5 ambapo upande wa serikali italeta malengo chanya upande wa miundombinu na ww utafaidika kwa gawio la 12% kwa mwakaSamia ndio anatoa hizo hela au?
Kwa mwendo huu tungekuwa tumepata uhuru na muungano kipindi kama hiki baadala ya Tanzania Bara na Visiwani tungekuwa na Samia Bara na Samia VisiwaniπSamia ndio anatoa hizo hela au?
Yaani kodi nilipe halafu hela ya kujenga miundombinu tena nitoe?! Kodi wanafanyia nini? Wanalipia posho?Ww ndio unatoa hela ,kuipokesha serikali kushirikiana na TARURA ambapo Hela Yako kupitia hii bond itasaidia ujenzi wa miundombinu kwa miaka maximum mi5 ambapo upande wa serikali italeta malengo chanya upande wa miundombinu na ww utafaidika kwa gawio la 12% kwa mwaka
Elimu ya Bond inaonekana ww mgeni,hio hela unawekeza utaipata baada ya MDA Fulani na gawio ....Hapa serikali unaikopesha katika makubaliano maalumu wao watatumia kufanya miradi hio ya miundombinu ambapo ww utapata gawio ambalo halitakatwa Kodi......Nirudi pia katika suala lako Kodi yako wanatumia katika vingi matumizi yao,maendeleo mengine pia kama Afya,elimu n.kYaani kodi nilipe halafu hela ya kujenga miundombinu tena nitoe?! Kodi wanafanyia nini? Wanalipia posho?