Samia infrastructure bond 12% imekaaje?

Samia infrastructure bond 12% imekaaje?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Naomba kuelewa wadau
👉.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote
👉.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea?
👉.Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi?

Naomba kupata elimu juu ya hiki kitu tafadhali?
 
SIB FAQ English-1.jpg
SIB FAQ English-2.jpg
SIB FAQ English-3.jpg
SIB FAQ English-4.jpg
 
Samia ndio anatoa hizo hela au?
Ww ndio unatoa hela ,kuipokesha serikali kushirikiana na TARURA ambapo Hela Yako kupitia hii bond itasaidia ujenzi wa miundombinu kwa miaka maximum mi5 ambapo upande wa serikali italeta malengo chanya upande wa miundombinu na ww utafaidika kwa gawio la 12% kwa mwaka
 
Nani awape hela hao wameshindwa kwenye Mwendokasi,ni kuibiana tu huko.
 
Ww ndio unatoa hela ,kuipokesha serikali kushirikiana na TARURA ambapo Hela Yako kupitia hii bond itasaidia ujenzi wa miundombinu kwa miaka maximum mi5 ambapo upande wa serikali italeta malengo chanya upande wa miundombinu na ww utafaidika kwa gawio la 12% kwa mwaka
Yaani kodi nilipe halafu hela ya kujenga miundombinu tena nitoe?! Kodi wanafanyia nini? Wanalipia posho?
 
Yaani kodi nilipe halafu hela ya kujenga miundombinu tena nitoe?! Kodi wanafanyia nini? Wanalipia posho?
Elimu ya Bond inaonekana ww mgeni,hio hela unawekeza utaipata baada ya MDA Fulani na gawio ....Hapa serikali unaikopesha katika makubaliano maalumu wao watatumia kufanya miradi hio ya miundombinu ambapo ww utapata gawio ambalo halitakatwa Kodi......Nirudi pia katika suala lako Kodi yako wanatumia katika vingi matumizi yao,maendeleo mengine pia kama Afya,elimu n.k
 
Wakishindwa kulipa gawio na hizo bond tutawashitaki wapi?
 
Back
Top Bottom