Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko?

Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko?

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
9,938
Reaction score
15,987
Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko

CRDB semeni kama kuna lmabadiliko sababu kwenye tangazo mlisema interest zitalipwa quarterly terehe 10 February, 10 may ,10 August na 10 November

Leo tarehe 10 wawekezaji makampuni wanataka kutoa ripoti za Cash flow kesho
 
Vitu vingine vinaanzishwa ili kumfurahisha mwenyekiti. Program nyingi zinakaa kiuchawa tu. Kuwa na subira wamenunua mabasi kwa ajili ya kampeni.
 
Kwani nani alikudanganya kwamba CRDB inatoa majibu kupitia JF?
Haina shida Jamii forums ni chombo cha habari na huhoji na kupewa majibu
Max Demelo kawahoji CRDB kama unavyohoji taasisi zingine za umma

Na vyombo vya habari vyote mliotangaza hizo bonds mkawahoji CRDB

Watoe majibu
 
Kwani nani alikudanganya kwamba CRDB inatoa majibu kupitia JF?
Mlipouza hizo bonds mlitangaza vyombo vya habari vyote ikiwemo Jamii Forums kulipa ndio mnajitia taarifa hazitolewi kupitia vyombo vya habari ni official Hivi wewe akili zimo kichwani wewe.? Hiyo nafasi hufai kuwa nayo kama ulibebwa kuipata utaitapika

Waandishi wa habari wakiuuliza ujibu huo ujinga kibarua kitaota nyasi

Hiyo ni biashara ujue
 
Ndiyo maana Salary Slip akakuambia kwamba mlipigwa!
 
Sema sisi waswahili tuna penda hela rahisi rahisi, wewe hata huja jua ka mfuko ni salama na thabiti una kimbilia kuweka tuchenchi twako.

mfuko huo uli kuwa kwa ajili ya kufichia hela zao za wizi, ili mki uliza wame toa wapi pesa waseme ni za wawekezaji 😆😂.
Uzuri mwenyewe ni chawa alivosikia tu jina huyoooo nduki
 
Hizi Bond ndg, hua hazilipwi siku za weekend na sikukuu.
Hivyo tegemea kulipwa siku ya kazi juma tatu.
 
Back
Top Bottom