Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko?

Samia Infrastructure bond ,CRDB mlitangaza kuwa interest awamu ya kwanza italipwa leo tarehe 10 May wawekezaji wauliza kuna mabadiliko?

Siku ambayo bank aiwezi lipa bond interest za wateja wake, elewa shida sio serikali bali bank ni chałi maana yake hawana liquidity.

Kinachofuata ni ‘bank run’ kwa wateja wake wanaoelewa maswala ya banking kama hawawezi lipa commitment zao.

Yaani bank kushindwa kulipa interest za wateja wake, hasa kwa hela ilizochukua kwa sababu ya ku invest kwenye government bonds au treasury bills. Maana yake vitabu vyao ni hovyo mno na sehemu kubwa ya loan asset zake ni kukopesha serikali.

Ni sawa na kusoma mada za jukwaa la biashara kuhusu financial investment 70% ua ni ujinga mtupu.

Hivi hizi tabia za kujiandikia ujinga kutoka vichwani mwenu watanzania ua mnautoa wapi.
 
Haina shida Jamii forums ni chombo cha habari na huhoji na kupewa majibu
Max Demelo kawahoji CRDB kama unavyohoji taasisi zingine za umma

Na vyombo vya habari vyote mliotangaza hizo bonds mkawahoji CRDB

Watoe majibu
Sio JF hii ina idara mods wa CCM
 
Back
Top Bottom