Samia Infrastructure Bond, wekeza 500,000/- uvune sh. 15,000/- kila mwezi

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.

Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.

Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
 
Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.

Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa mwananchi wa chini.

Kwa tajiri kama wewe TAJIRI MKUU WA MATAJIRI, mna pesa nyingi, nyingine haramu, ni fursa nzuri sana kwenu kufanya utakatishaji
 
Manake nikiweka 5m navuna 150,000 kwa mwezi, 50m navuna 1.5m kwa mwezi, kweli?!
 
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa mwananchi wa chini.

Kwa tajiri kama wewe TAJIRI MKUU WA MATAJIRI, mna pesa nyingi, nyingine haramu, ni fursa nzuri sana kwenu kufanya utakatishaji
Serikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wengi sana.
Sasa inakuja na mpango huu ambao naona hauna tija.
Miezi kadhaa iliyopita serikali iliwaita makandarasi pale Mlimani City kuzindua hii Samia Bond. Makandarasi wengi waliona huu ni utapeli.
Utawaitaje watu wanaokudai uwachangie?
 
Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.

Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.

Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
Duh!...
 
Kwa miaka mingapi huo mfukoni utafanya kazi?
Hawa jamaa wajanja, wanajua Wabongo hufa mapema na Wabongo hawajui namna nzuri ya kurithisha mali watu wao wa karibu hivyo hiyo pesa itapotelea mikononi mwao Ukifa.
Haya vipi Samia akistaafishwa na Lissu mwakani bado mtaendelea kuita mama Samia hicho kidudu chenu cha utapeli au mtawapiga chenga wananchi?
 
Kwa miaka mingapi?

Miaka mitano tu
 
Serikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wengi sana.
Sasa inakuja na mpango huu ambao naona hauna tija.
Miezi kadhaa iliyopita serikali iliwaita makandarasi pale Mlimani City kuzindua hii Samia Bond. Makandarasi wengi waliona huu ni utapeli.
Utawaitaje watu wanaokudai uwachangie?
Samia amefeli
 
Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.

Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.

Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.

Kiongozi; Sijui kama unafaham Hesabu ya asilimia vizuri kwani kuna kitu hakipo sawa;
500,000 kwa riba ya 12% kwa mwaka, unapata jumla ya shs 60,000 kwa mwaka, ambayo ukigawa kwa miezi 12 ili upate faida kwa mwezi; kila mwezi utapata shs 5000.
Hivyo, ungeandika hivi; Wekeza shs 500,000 upate shs 5000 kila mwezi
 
Back
Top Bottom