Samia Infrastructure Bond, wekeza 500,000/- uvune sh. 15,000/- kila mwezi

Samia Infrastructure Bond, wekeza 500,000/- uvune sh. 15,000/- kila mwezi

Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.

Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.

Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
Wewe ndio mkurugenzi mkuu?
 
Hivi kwa nini lugha ya kiswahili inataka kuharibiwa sana na matapeli pamoja na machawa hii?

Rais anaitwa Samia, hana mtoto anayeitwa Samia, ana watoto wenye majina tofauti tofauti.

Kiswahili sahihi anaitwa 'Rais Samia'
Kwa wale walamba miguu, mlitakiwa kumuita 'Mama Abdul' na siyo 'mama Samia'.
 
Hivi lugha ya kiswahili inataka kuharibiwa sana na matapeli na machawa hii.

Rais anaitwa Samia, hana mtoto anayeitwa Samia, ana watoto wenye majina tofauti tofauti.

Kiswahili sahihi anaitwa 'Rais Samia'
Kwa wale walamba miguu, mlitakiwa kumuita 'Mama Abdul' na siyo 'mama Samia'.
Hah haha haha
 
Kwa miaka mingapi huo mfukoni utafanya kazi?
Hawa jamaa wajanja, wanajua Wabongo hufa mapema na Wabongo hawajui namna nzuri ya kurithisha mali watu wao wa karibu hivyo hiyo pesa itapotelea mikononi mwao Ukifa.
Haya vipi Samia akistaafishwa na Lissu mwakani bado mtaendelea kuita mama Samia hicho kidudu chenu cha utapeli au mtawapiga chenga wananchi?
Hii ni mbinu mojawapo ya CCM
kugharamia uchaguzi mkuu kupitia ukwasi wa CRDB. Lengo la kukarabati miundombinu limekaa kimkakati zaidi ingawa atakayewekeza hatapoteza ila atakuwa amechangia uchaguzi wa 2025
 
Umekosea, kwa hesabu yako inamaana riba kwa mwaka inakuwa 120%. Hii haijawahi kutokea kwenye sayari yetu ya dunia kwenye mifuko ya uwekezaji kutoa kiwango hicho, labda DECI.
Hata hesabu iweje, hii ni biashara kichaa ambayo inaweza kufanywa na mafisadi Papa na wauza madawa ya kulevya ili kutakatisha pesa zao chafu
 
Back
Top Bottom