KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa mwananchi wa chini.Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.
Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.
Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
Manake nikiweka 5m navuna 150,000 kwa mwezi, 50m navuna 1.5m kwa mwezi, kweli?!Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.
Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.
Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
Umekosea, kwa hesabu yako inamaana riba kwa mwaka inakuwa 120%. Hii haijawahi kutokea kwenye sayari yetu ya dunia kwenye mifuko ya uwekezaji kutoa kiwango hicho, labda DECI.Manake nikiweka 5m navuna 150,000 kwa mwezi, 50m navuna 1.5m kwa mwezi, kweli?!
Riba ni 12% per annum (kwa mwaka)Umekosea, kwa hesabu yako inamaana riba kwa mwaka inakuwa 120%. Hii haijawahi kutokea kwenye sayari yetu ya dunia kwenye mifuko ya uwekezaji kutoa kiwango hicho, labda DECI.
Serikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wengi sana.Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa mwananchi wa chini.
Kwa tajiri kama wewe TAJIRI MKUU WA MATAJIRI, mna pesa nyingi, nyingine haramu, ni fursa nzuri sana kwenu kufanya utakatishaji
Ndio hiyo DECI ya mama Samia inasema hivyo.Umekosea, kwa hesabu yako inamaana riba kwa mwaka inakuwa 120%. Hii haijawahi kutokea kwenye sayari yetu ya dunia kwenye mifuko ya uwekezaji kutoa kiwango hicho, labda DECI.
Duh!...Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.
Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.
Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
Kumbe urubani unalipa kiasi hicho?bora nikaendeshe ndege tu 500,000 x 1.20 = 600,000 on the spot
Miaka mitano tuKwa miaka mingapi?
Hawa jamaa wajanja, wanajua Wabongo hufa mapema na Wabongo hawajui namna nzuri ya kurithisha mali watu wao wa karibu hivyo hiyo pesa itapotelea mikononi mwao Ukifa.
Haya vipi Samia akistaafishwa na Lissu mwakani bado mtaendelea kuita mama Samia hicho kidudu chenu cha utapeli au mtawapiga chenga wananchi?
Nchi ya machawa. Umasikini wa fikra ni mbaya sanaTanzania kila kitu sasa hivi ni mama Samia?
Ndio hapo MamaSamia2025 atakapoishia jela, maana katiba mpya yajaHaya vipi Samia akistaafishwa na Lissu mwakani bado mtaendelea kuita mama Samia hicho kidudu chenu cha
Samia amefeliSerikali imeshindwa kuwalipa makandarasi wengi sana.
Sasa inakuja na mpango huu ambao naona hauna tija.
Miezi kadhaa iliyopita serikali iliwaita makandarasi pale Mlimani City kuzindua hii Samia Bond. Makandarasi wengi waliona huu ni utapeli.
Utawaitaje watu wanaokudai uwachangie?
Mama Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini.
Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka.
Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.