Soon itafika 5000. Halafu Mwigulu atasema tulalamika.dola kupanda wakato hatuitumii aha 😆 🤣 😄 😂Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
Tuendelee na kidomodomo tu, tutafika.Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
Nadhani online wanafata rates za BOT na makampuni yanaendeshwa na invisible hands 'demand and supply'Mkuu fafanua kidogo kwanini makampuni yanafanya 2900?
Kwenye exchange za online inaonesha 2490. Kama unaelewa fafanua tafadhali
View attachment 3527252
Kama hii ni kuuza dollar kununua ipoje?Mkuu fafanua kidogo kwanini makampuni yanafanya 2900?
Kwenye exchange za online inaonesha 2490. Kama unaelewa fafanua tafadhali
View attachment 3527252
Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku