Samia kapania kugeuza Tanzania kuwa Zimbabwe ya Mugabe! Dollar $ itapanda

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
 
Soon itafika 5000. Halafu Mwigulu atasema tulalamika.dola kupanda wakato hatuitumii aha πŸ˜† 🀣 πŸ˜„ πŸ˜‚
 
Mkuu fafanua kidogo kwanini makampuni yanafanya 2900?
Kwenye exchange za online inaonesha 2490. Kama unaelewa fafanua tafadhali
 
Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
Tuendelee na kidomodomo tu, tutafika.
 
Aisee kama ni kweli tunasubiria Madelu atakapokuja kuropoka
 
Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku

Wenye akaunti za Dola watapiga faida kubwa sana. Kama aliweka dolar Mwaka Jana kwa rate ya 2400 leo imeshuti hadi 2900 maana yake faida hapo ni 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…