tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Viroba na Kvant amuachie nani. Na kuchezea kile kiTOP cover cha.....Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi
Na uhakika wa mabikira 72 🤣
Sigda yake inahusiana vipi na siasa? Au ndio kukosa akili kwenyewe?
Huyo mwenyekiti wa tume aliyeteuliwa na CCM unategemea atamwambiaje SAMIA? Wakati mwingine tutumie akili zetu badala ya utumbo.....Atapendelewa siku zote.....aseme ngwe' tuone kama ajira yake itabaki?Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano Agosti 27, 2025.
Hatua hiyo, inampa nafasi mkuu huyo wa nchi ya kusubiri uteuzi wa INEC, kisha kuanza mchakamchaka wa kampeni za uchaguzi, zitakazofanyika kwa kipindi cha siku 60.
Soma pia: Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili
View attachment 3454690
Rais Samia ambaye ndiye mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), atazindua rasmi kampeni za uchaguzi huo, kesho Alhamisi Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, Dar es Salaam.
Mgombea huyo wa CCM, amefika katika ofisi za INEC, saa moja na dakika 50 asubuhi, akiwa wa kwanza kabla ya wagombea wengine wa nafasi hiyo, kama alivyofanya wakati wa uchukuaji fomu Agosti 9, 2025.
Rais Dk Samia ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, alisindikizwa na baadhi ya viongozi wa kitaifa wa chama hicho, huku akiambatana na mgombea mwenza, Dk Emmanuel Nchimbi.
Baadhi ya walioambatana naye katika tukio hilo ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Asha Rose Migiro na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Mary Chatanda, sambamba na wajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).
Huwa inanishangaza sana hii logic ya adhabu ya kaburi
Astaghafulillah!! Mbona mmezidi sasaViroba na Kvant amuachie nani. Na kuchezea kile kiTOP cover cha.....
Anajijua ni mtu wa ulabu hivyo hataki kumdhihaki Mungu ngoja akomae na kilaji kwanza.Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi
Dhambi wanayofanya kuiba kura lazima aingie jehanam huyo
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano Agosti 27, 2025.
Hatua hiyo, inampa nafasi mkuu huyo wa nchi ya kusubiri uteuzi wa INEC, kisha kuanza mchakamchaka wa kampeni za uchaguzi, zitakazofanyika kwa kipindi cha siku 60.
Soma pia: Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili
View attachment 3454690
Rais Samia ambaye ndiye mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), atazindua rasmi kampeni za uchaguzi huo, kesho Alhamisi Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, Dar es Salaam.
Mgombea huyo wa CCM, amefika katika ofisi za INEC, saa moja na dakika 50 asubuhi, akiwa wa kwanza kabla ya wagombea wengine wa nafasi hiyo, kama alivyofanya wakati wa uchukuaji fomu Agosti 9, 2025.
Rais Dk Samia ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, alisindikizwa na baadhi ya viongozi wa kitaifa wa chama hicho, huku akiambatana na mgombea mwenza, Dk Emmanuel Nchimbi.
Baadhi ya walioambatana naye katika tukio hilo ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Asha Rose Migiro na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Mary Chatanda, sambamba na wajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).
Hivi huyu Nchimbi ana undugu na yule Pimbi aka Dr. Love wa magazeti ya Sani maana ni kopiraiti kabisa.Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano Agosti 27, 2025.