GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
TLP HAWAKUWA NYUMA NAO WAFIKA TUME YA INEC

View attachment 3455010
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira aliambatana na mgombea mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee (kushoto) walirejesha fomu hizo leo Agosti 27, 2025.


TOKA MAKTABA :

Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira wa chama cha TLP, asisitiza elimu ya ufundi kuanzia ngazi ya elimu ya msingi hadi chuo kikuu, bima ya afya kwa wote, nchi hii tajiri, kila mtu awe na kazi...tupeni nchi tutekeleze ilani yetu ya uchaguzi ndani ya miaka 5 tukiwa ikulu nchi hii itakuwa nzuri..


View: https://m.youtube.com/watch?v=Xs6_IA7NbqI
Picha mjongeo maktaba.

MTM_0450.JPG
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira.
MTM_0448.JPG
Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee
 
NCCR - MAGEUZI WAREJESHA FOMU 2025
View attachment 3454997
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi.
View attachment 3455003
Picha maktaba : Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi.
View attachment 3455006
Picha maktaba

Toka maktaba :
MTUCHAGUE NCCR- MAGEUZI ILI NDANI YA SIKU 100 IKULU, MPATE KATIBA MPYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=9zYx54cmX_U
Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi wa chama cha NCCR - MAGEUZI
 

27 August 2025​

'Chama cha Mapinduzi kitakabiliana na upinzani daraja la nne'​


View: https://m.youtube.com/watch?v=5uRPg24GLtY

Martha Saaranga amezungumza na Mwanasheria Edson Kilatu na Charles William mchambuzi wa siasa ambaye anaanza kwa kueleza hatua hii ina maana gani kisiasa? Wakili achambua..

Source : BBC News Swahili
 
Geti likiwa limefungwa la INEC na kumuomba Luhaga Mpina aje siku nyingine na wakati mwingine baada ya siku ya leo tarehe 27 Agosti 2025 kuisha, ambayo ni siku pekee maalum iliyotengwa ya kurudisha fomu ya kugombea urais 2025.
1756320481312.jpeg



27 August 2025

OMO aja juu kuzuiliwa Luhaga Mpina | GUMZO LA UCHAGUZI


View: https://m.youtube.com/watch?v=GfwklYKAA-E
Source: Gumzo la Ghassani
 
Muasisi wa Chama cha UDP mzee John Cheyo asema kwa furaha kuwa hakijakosa kutumia fursa ya kikatiba kuwania uongozi wa nchi, hivyo kila kipindi cha uchaguzi kilisimamisha wagombea bila kukosa.

30 Agosti 2025

Muasisi John Cheyo atoa baraka zote kwa mgombea urais kupitia UDP Bi. Saumu Rashid na mgombea mweza alipofika nyumbani kwa mzee Cheyo


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ue5wKqlV4Rg
Katika uchaguzi wa Oktoba 2025 UPD imewapeleka Bi. Saumu Rashid, kama mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Bw. Juma Khamis Faki, ni mgombea mwenza.
 
Back
Top Bottom