Umewahi kuwaona wake wa mashekh na maustadh wanaoijua dini halafu wake zao wakaenda msikitini?Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi
Umewahi kuwaona wake wa mashekh na maustadh wanaoijua dini halafu wake zao wakaenda msikitini?Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi
usijipe umungu
Wachana na huyo nyumbu.Hajui anachoandika.usijipe umungu
Ndugu kabisa hao tofauti tu huyu hana zile harakati za PimbiHivi huyu Nchimbi ana undugu na yule Pimbi aka Dr. Love wa magazeti ya Sani maana ni kopiraiti kabisa.
UMD TUPO TAYARI KUPAMBANA NA CCM KUCHUKUA DOLA KWA KUSHINDA UCHAGUZI OKTOBA 2025
Bi. Mwajuma Mirambo : UMD Tunasisitiza sera ya majimbo na maisha laini 2025 tukiingia Ikulu
View: https://m.youtube.com/watch?v=lFR_3Ud_XlQ
Bi. Mwajuma Mirambo anayegombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama cha UMD akiambatana na Mgombea Mwenza Bi. Mashavu Alawi Haji afunguka utayari wa UMD kushiriki vilivyo hadi ushindi ktk uchaguzi wa Oktoba 2025
Tuliisha ambiwa mapema watu waimani ile tungekuwa na uwezo wakuyaona walinayo kifuani mwao dhidi yetu sisi wachamungu tusinge kaa nao wala kusema nao .
Nilitaka kuandika comment kama hii ila nimekuachia wewe uiandike ili uking'olewa Meno na kucha bila ganzi usitulaumu wala kutulilia humu JF. 😂😂😂😂Viroba na Kvant amuachie nani. Na kuchezea kile kiTOP cover cha.....
TunatikiRais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano Agosti 27, 2025.
Hatua hiyo, inampa nafasi mkuu huyo wa nchi ya kusubiri uteuzi wa INEC, kisha kuanza mchakamchaka wa kampeni za uchaguzi, zitakazofanyika kwa kipindi cha siku 60.
Soma pia: Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili
View attachment 3454690
Rais Samia ambaye ndiye mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), atazindua rasmi kampeni za uchaguzi huo, kesho Alhamisi Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, Dar es Salaam.
Mgombea huyo wa CCM, amefika katika ofisi za INEC, saa moja na dakika 50 asubuhi, akiwa wa kwanza kabla ya wagombea wengine wa nafasi hiyo, kama alivyofanya wakati wa uchukuaji fomu Agosti 9, 2025.
Rais Dk Samia ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, alisindikizwa na baadhi ya viongozi wa kitaifa wa chama hicho, huku akiambatana na mgombea mwenza, Dk Emmanuel Nchimbi.
Baadhi ya walioambatana naye katika tukio hilo ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt Asha Rose Migiro na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Mary Chatanda, sambamba na wajumbe wengine wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).
TunatikiAnagombea dhidi ya nani?
Wewe Imani yake inakuhusu nini.Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi