GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijawahi kuomuona anaingia msikitini sijui ana shida gani na MUNGU.
Hajawahi kuingia msikitini Toka amekuwa raisi
Umewahi kuwaona wake wa mashekh na maustadh wanaoijua dini halafu wake zao wakaenda msikitini?
 
Reactions: Tui
TOKA MAKTABA 2020
Sera makini za majimbo za UMD


2020 13 September

UMD Maisha yalaini yanawezekana, maisha magumu yanasababishwa na CCM

Khalfan Mazrui, Mgombea Urais wa Chama cha UMD amesema kuwa akishika hatamu kwenye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atarejesha utawala kwa wananchi na kwamba ajira zitaongezeka kwa wananchi


View: https://m.youtube.com/watch?v=gNCrNHx03vE
 
Kila nikikumbuka mgombea wa chama chetu ndo alimteua mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi (INEC) nafarijika sana. Kidumu CCM
 

19 Oktoba 2020​

"Sera isiyotetereka ya Majimbo, pia Siku moja tuwekeni ngumi kwa wagombea urais". Mazrui 2020 UMD ​


View: https://m.youtube.com/watch?v=kyxkO7E4jls
maisha laini kwa raia wote chini ya UMD yanawezekana kwa kupitia sera yetu ya majimbo. Maisha magumu ya raia yanatokana na matumizi mabaya ya rasilimali yanayofanywa na serikali ya CCM, mfano ...
 
Ustadh Kai ana sigda kubwa, bila shaka huyu adhabu ya kaburi itampitia mbali😁
Covax adriz
Tuliisha ambiwa mapema watu waimani ile tungekuwa na uwezo wakuyaona walinayo kifuani mwao dhidi yetu sisi wachamungu tusinge kaa nao wala kusema nao .
Pia tumeambiwa hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara hadi tufate mila zao ni kweli kabisa sasa hapo umezungumzia sijda inahusika nini kama sio ubaguzi wa kidini?hagombei samia peke yake.na nanchimbi yumo elewa basi
 
Uyu nimemuelewa kiasi kaongea itaji la Wananchi moja kwa moja
 
Viroba na Kvant amuachie nani. Na kuchezea kile kiTOP cover cha.....
Nilitaka kuandika comment kama hii ila nimekuachia wewe uiandike ili uking'olewa Meno na kucha bila ganzi usitulaumu wala kutulilia humu JF. 😂😂😂😂
 
NCCR - MAGEUZI WAREJESHA FOMU 2025

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi.

Picha maktaba : Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi.

Picha maktaba
 
Kwa mpango wa INEC wa kumuondoa Mpina, mwisho wa siku mpambano utakuwa kati ya Wazanzibar wawili (Mama na Mwalimu). Kitu kama hii haiwezi kamwe kutokea huko Zanzibar na hii ni moja ya madhaifu makubwa ya Muungano wetu
 
UDPD WAREJESHA FOMU

Chama cha United Peoples’ Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege aliambatana na mgombea mwenza wake wa nafasi ya Makamu wa Rais, Mhe. Abdalla Mohamed Khamis.


Picha maktaba :
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kulia) na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi wakionesha mkoba ulio na fomu

Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kushoto) na mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC , Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele
 
TLP HAWAKUWA NYUMA NAO WAFIKA TUME YA INEC


Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira aliambatana na mgombea mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee (kushoto) walirejesha fomu hizo leo Agosti 27, 2025.


TOKA MAKTABA :

Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira wa chama cha TLP, asisitiza elimu ya ufundi kuanzia ngazi ya elimu ya msingi hadi chuo kikuu, bima ya afya kwa wote, nchi hii tajiri, kila mtu awe na kazi...tupeni nchi tutekeleze ilani yetu ya uchaguzi ndani ya miaka 5 tukiwa ikulu nchi hii itakuwa nzuri..


View: https://m.youtube.com/watch?v=Xs6_IA7NbqIPicha mjongeo maktaba.
 
Tunatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…