GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira.
Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee
 

Toka maktaba :
MTUCHAGUE NCCR- MAGEUZI ILI NDANI YA SIKU 100 IKULU, MPATE KATIBA MPYA


View: https://m.youtube.com/watch?v=9zYx54cmX_UMhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi wa chama cha NCCR - MAGEUZI
 

27 August 2025​

'Chama cha Mapinduzi kitakabiliana na upinzani daraja la nne'​


View: https://m.youtube.com/watch?v=5uRPg24GLtY
Martha Saaranga amezungumza na Mwanasheria Edson Kilatu na Charles William mchambuzi wa siasa ambaye anaanza kwa kueleza hatua hii ina maana gani kisiasa? Wakili achambua..

Source : BBC News Swahili
 
Geti likiwa limefungwa la INEC na kumuomba Luhaga Mpina aje siku nyingine na wakati mwingine baada ya siku ya leo tarehe 27 Agosti 2025 kuisha, ambayo ni siku pekee maalum iliyotengwa ya kurudisha fomu ya kugombea urais 2025.



27 August 2025

OMO aja juu kuzuiliwa Luhaga Mpina | GUMZO LA UCHAGUZI


View: https://m.youtube.com/watch?v=GfwklYKAA-ESource: Gumzo la Ghassani
 
Muasisi wa Chama cha UDP mzee John Cheyo asema kwa furaha kuwa hakijakosa kutumia fursa ya kikatiba kuwania uongozi wa nchi, hivyo kila kipindi cha uchaguzi kilisimamisha wagombea bila kukosa.

30 Agosti 2025

Muasisi John Cheyo atoa baraka zote kwa mgombea urais kupitia UDP Bi. Saumu Rashid na mgombea mweza alipofika nyumbani kwa mzee Cheyo


View: https://m.youtube.com/watch?v=Ue5wKqlV4RgKatika uchaguzi wa Oktoba 2025 UPD imewapeleka Bi. Saumu Rashid, kama mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku Bw. Juma Khamis Faki, ni mgombea mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…