Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
yamebuma kvp mkuu embu funguka maana hawa kings ndo nawasikia leo, na nimestuka kuona ay naye yupo.Kings wa nchi gani. Hao ni Samia Zilipendwa Chawas.
Nahisi AY anataka kujaribu kufuata njia za Mwana FA akiamini na yeye anaweza kutusua kwenye siasa baada ya mambo mengine kubuma.
Wanaleta uchawa na masihara kwenye mambo ya diniNinawapongeza. Ila hili suala la kufuturisha nahisi limekosa uhalisia unaotakiwa kwenye uislamu. Futari imekuwa kama matamasha ya sanaa.
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.
Siku zote ukiwa incompetent lazima uwekeze sana kwenye uchawa ili uonekane upo competent. Haya tunayaona hata makazini huku.Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.
Duuui chawaaa....kazi sanaaaawHao wanalipwa mshahara na mwana FA.
Hata uwizi wa kura uisilamu hautakiNinawapongeza. Ila hili suala la kufuturisha nahisi limekosa uhalisia unaotakiwa kwenye uislamu. Futari imekuwa kama matamasha ya sanaa.
Ni kweli. Wizi wa kura ni jambo baya. Ni kuwanyima haki watu.Hata uwizi wa kura uisilamu hautaki