A.Y tuliaminishwa ni msanii Tajiri sana ,mara ana nyumba marekani na blah blah etc..........huwezi mbebesha mabango mtu mwenye Bilioni Moja Tsh,hapa TZ,...Diamond,Harmonize wanatumika sana na CCM,lakini huwezi kuwakuta wakifanya ulimbukeni wa A.Y.Wakuu
Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Pia,Soma
- Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata
- Wasanii Ay, Madee na Chege tumeridhia kuitwa Samia Kings baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za CCM
Nchi ngumu sana hii kaka dah 🤣🤣🤣Duh..
Kumbe Kuna Samia King's....
Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.
Wengine wanatumia huu uchawa ili mambo yao ya "kiharamu_haramu" yaende bila vikwazo.yamebuma kvp mkuu embu funguka maana hawa kings ndo nawasikia leo, na nimestuka kuona ay naye yupo.
AY jamaa wanasema ni bilionea in TShs.Sijui kwann nimemsikitikia AY..anyways,ndio maisha, yakizingua, unatakiwa upambane kwa namna yoyote ile
Waache bhangi hao.Wakuu
Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Pia,Soma
- Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata
- Wasanii Ay, Madee na Chege tumeridhia kuitwa Samia Kings baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za CCM
BIlionea hawez fanya ujinga anaofanya AY.AY jamaa wanasema ni bilionea in TShs.
Imenishangaza billionea kufanya mambo ya aina hioAY jamaa wanasema ni bilionea in TShs.
Nakazia hapa. 😂😂😂😂😂Kings wa nchi gani. Hao ni Samia Zilipendwa Chawas.
Nahisi AY anataka kujaribu kufuata njia za Mwana FA akiamini na yeye anaweza kutusua kwenye siasa baada ya mambo mengine kubuma.
Hii ndo tz yetu pendwa yaani asee!.Hata sielewi kwann kila kitu saivi ni samia samia samia mpk mambo yanayohusu dini seriously yan ramadhan inatumika kumtangaza mwanasiasa, futari inatumika kumtangaza mwanasiasa kweli kbs yan kwngne kote wamekosa na kngne maccm humu yanatamba mama abdul kafanya makubwa kwa muda mfupi je kuna sababu gn kutumia nguvu nyng kumtangaza hayo aliyofanya si yanaonekana na yanatosha kumtangaza kbs.