PreGE2025 Samia Kings (Madee, AY na Chegge) kufuturisha Watoto yatima na wenye Uhitaji maalum Machi 22, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kampeni mpaka kwenye futar, ama hakika mama anaupiga mwingi hahitaji matangazo kabisa
 
A.Y tuliaminishwa ni msanii Tajiri sana ,mara ana nyumba marekani na blah blah etc..........huwezi mbebesha mabango mtu mwenye Bilioni Moja Tsh,hapa TZ,...Diamond,Harmonize wanatumika sana na CCM,lakini huwezi kuwakuta wakifanya ulimbukeni wa A.Y.
Mwenzako mwana F.A alikua Mbunge kwa Zali la mwendazake,kiki za kujipendekeza anazitumia awe kama A.Y,
Hao wasanii ndio watakuaminisha bongfleva inalipa
 

Mwana mke siku hizi anaweka mpaka jiwe la msingi la msikiti .

Anatajwa mara nyingi kwa siku na mwaka kuliko mtume mohamadi na hata mwenyezi Mungu .
 
Waache bhangi hao.
 
Uchawa ni kitu mbaya sanaa mambo kama yataenda hivi hii nchi itapotea mda si mrefu!
 
Kings wa nchi gani. Hao ni Samia Zilipendwa Chawas.

Nahisi AY anataka kujaribu kufuata njia za Mwana FA akiamini na yeye anaweza kutusua kwenye siasa baada ya mambo mengine kubuma.
Nakazia hapa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu Hii ndo tz yetu pendwa yaani asee!.
Lakin watu wamemkubali kutoka moyon sio mbaya, ila kama ndo kuvizia nyazifa basi yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…