Samia kukinywea kikombe cha Harris Kamala Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa chama gani na opponent yupi!?
Ishu sio chama, inshu ni mwanamke. kwasababu ambazo amezianisha mleta Uzi yupo sahihi nyingine uzanzibar , hivi unafikiri kwa tamaduni za kisukuma ,msukuma anaweza kutoka asbh akampigie mwanamke kura awe raisi!!!
 
Heshima kwenu wakuu.
Natanguliza conflict of Interest, 2025 Kassimu Majaliwa asipokuwa mgombea,basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta makamu wa Rais wa USA.

Hariss Kamala kagombea baada bya Rais Joe Biiden ku resign.
Wakati Samia kawa Rais kwa kurithi baada ya kifo Cha Kambale.

Mwakani Samia anatamani kugombea, CCM wanataka kutoa fomu Moja tu!!!

Tahadhari kwake Samia ya kuwa yataenda kumkuta yalomkuta Kamala Harris, japo sababu zitakuwa zinatofautiana kiasi flani.

1.Tanzaania, Afrika Kuna mfumo dume, hatapata kura nyingi za wanaume,ndani na nje ya wanna cm.

2.Asilimia kubwa ya waislamu ambao Mwanamke hawezi kuwa kiongozi wao hawatampa kura.

3.Idadi ya watanzania wanaojitambua hawawezi kumpa kura muuza rasilimali za nchi kama Bandari, mbuga za wanyama.

4.Kura za vijana hasa wahititimu wa vyuo ambao wapo mtaani hawana ajira.

5.Idadi ya vijana watakaopiga kura kwa mara bya kwanza wata vote kwa upinzani.

6.Migogoro iliyopo ndani ya CCM chini kwa chini iliyopelekea Nape, Makamba Jr,Mzee wetu Kinana kupigwa chini ni dalili tosha na nzuri ya kuwa hali ya hewa sio nzuri kabisa CCM.

7.Kitendo Cha Wamarekani ambao tunaamini ndo wakuigwa kuhusu women empowerment wamemkataa MWANAMKE kwa ajili ya jinsia yake mbali ya mengine.

8.Marekani wamerudia mara ya pili kumkataa Mwanamke, Walimkataa Hilal Clinton, na Jana wamekataa Harriss Kamala ambaye aligombea kutokea cheo Cha makamu wa Rais.

Sisi, Tanzania ni nani mpaka tukatae kujifunza jambo Jena kama hilo kutoka USA.

Salama ya CCM kwa kiasi kidogo ni kuja na jina tofauti, hasa la Kassimu Majaliwa, angalau kutakuwa na Mwanga kushindana na upinzani.

Slogan kuwa upinzani umekufa ni UONGO NA KICHAKA CA KUJIFARIJI.

mnakumbuka mlivyotumia nguvu kubwa kuzima Maandamano ya chama mnachosema kimekufa.

Kwa heshima na taadhima Mzee kikwete mshauri mama akapunzike Kizimkazi akalee wajukuu wake.

Samia Suluhu Hassan, nasikiaga unasomaga Jamii forum.

Nakuomba fanyia kazi ushauri wa kutogombea ili uondokane na aibu, zaidi ya hapo utatumia nguvu kubwa, kuua, kujeruhi, kupoteza watu,kutumbua,kwa ajili ya kulinda Urais.

Shime 2025 ni nafasi pekee ya mabadiliko, binafsi sijali sana chama, japo natamani opossition ishinde.

Lakini sio Samia, kumpa Urais ni kumpa nafasi ya kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali za Nchi.

Shime Watanzania tuilinde Tanzania dhidi ya wauza rasilimali za vizazi vijavyo

Tanzania kwanza, vyama , Dini, baadae.
🙏🙏
Haha
 
Shukrani, umejibu vizuri sana!!
 
Hakuna chama Wala mtu wa kumzidi Samia hapa Bongo
 
Wakati wa gharika kuu Nuhu anajenga safina watu walikuwa na Mawazo ya kijinga kama yako!!
Samia ni mweupe sana, hatakiwi hata ndani ya Chama kwa taarifa tu.

Anapingwa ndani na nje ya chama!!!
Huelewi kwakuwa wewe ni mgeni!!!
Ila kama unaishi Tanzania basi UTAKUWA MWIZI NA FISADI SERKARINI kwahiyo unaogopa akitoka mtu ambaye anachekelea NYANI WANAOKULA mahindi itakuwa ni tatizo.

Samia hatoboi!!!
 
Heshima kwenu wakuu.
Natanguliza conflict of Interest, 2025 Kassimu Majaliwa asipokuwa mgombea,basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta makamu wa Rais wa USA.

Hariss Kamala kagombea baada bya Rais Joe Biiden ku resign.
Wakati Samia kawa Rais kwa kurithi baada ya kifo Cha Kambale.

Mwakani Samia anatamani kugombea, CCM wanataka kutoa fomu Moja tu!!!

Tahadhari kwake Samia ya kuwa yataenda kumkuta yalomkuta Kamala Harris, japo sababu zitakuwa zinatofautiana kiasi flani.

1.Tanzaania, Afrika Kuna mfumo dume, hatapata kura nyingi za wanaume,ndani na nje ya wanna cm.

2.Asilimia kubwa ya waislamu ambao Mwanamke hawezi kuwa kiongozi wao hawatampa kura.

3.Idadi ya watanzania wanaojitambua hawawezi kumpa kura muuza rasilimali za nchi kama Bandari, mbuga za wanyama.

4.Kura za vijana hasa wahititimu wa vyuo ambao wapo mtaani hawana ajira.

5.Idadi ya vijana watakaopiga kura kwa mara bya kwanza wata vote kwa upinzani.

6.Migogoro iliyopo ndani ya CCM chini kwa chini iliyopelekea Nape, Makamba Jr,Mzee wetu Kinana kupigwa chini ni dalili tosha na nzuri ya kuwa hali ya hewa sio nzuri kabisa CCM.

7.Kitendo Cha Wamarekani ambao tunaamini ndo wakuigwa kuhusu women empowerment wamemkataa MWANAMKE kwa ajili ya jinsia yake mbali ya mengine.

8.Marekani wamerudia mara ya pili kumkataa Mwanamke, Walimkataa Hilal Clinton, na Jana wamekataa Harriss Kamala ambaye aligombea kutokea cheo Cha makamu wa Rais.

Sisi, Tanzania ni nani mpaka tukatae kujifunza jambo Jena kama hilo kutoka USA.

Salama ya CCM kwa kiasi kidogo ni kuja na jina tofauti, hasa la Kassimu Majaliwa, angalau kutakuwa na Mwanga kushindana na upinzani.

Slogan kuwa upinzani umekufa ni UONGO NA KICHAKA CA KUJIFARIJI.

mnakumbuka mlivyotumia nguvu kubwa kuzima Maandamano ya chama mnachosema kimekufa.

Kwa heshima na taadhima Mzee kikwete mshauri mama akapunzike Kizimkazi akalee wajukuu wake.

Samia Suluhu Hassan, nasikiaga unasomaga Jamii forum.

Nakuomba fanyia kazi ushauri wa kutogombea ili uondokane na aibu, zaidi ya hapo utatumia nguvu kubwa, kuua, kujeruhi, kupoteza watu,kutumbua,kwa ajili ya kulinda Urais.

Shime 2025 ni nafasi pekee ya mabadiliko, binafsi sijali sana chama, japo natamani opossition ishinde.

Lakini sio Samia, kumpa Urais ni kumpa nafasi ya kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali za Nchi.

Shime Watanzania tuilinde Tanzania dhidi ya wauza rasilimali za vizazi vijavyo

Tanzania kwanza, vyama , Dini, baadae.
🙏🙏
Naunga mkono hoja. Apigwe chini tu
 
Ukweli ndio huo, daima Mwanamke huwa Chini ya Mwanaume. Tanzania itamchagua Rais Mwanaume 2025
 
Siyo kwa Watanzania hawa
.
 
Attachments

  • 20241107_182430.jpg
    20241107_182430.jpg
    62.3 KB · Views: 3
Kasim Majaliwa hafai hata balozi wa nyumba 10 waziri mkuu wa hovyo kupita wote toka uhuru
 
Heshima kwenu wakuu.
Natanguliza conflict of Interest, 2025 Kassimu Majaliwa asipokuwa mgombea,basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta makamu wa Rais wa USA.

Hariss Kamala kagombea baada bya Rais Joe Biiden ku resign.
Wakati Samia kawa Rais kwa kurithi baada ya kifo Cha Kambale.

Mwakani Samia anatamani kugombea, CCM wanataka kutoa fomu Moja tu!!!

Tahadhari kwake Samia ya kuwa yataenda kumkuta yalomkuta Kamala Harris, japo sababu zitakuwa zinatofautiana kiasi flani.

1.Tanzaania, Afrika Kuna mfumo dume, hatapata kura nyingi za wanaume,ndani na nje ya wanna cm.

2.Asilimia kubwa ya waislamu ambao Mwanamke hawezi kuwa kiongozi wao hawatampa kura.

3.Idadi ya watanzania wanaojitambua hawawezi kumpa kura muuza rasilimali za nchi kama Bandari, mbuga za wanyama.

4.Kura za vijana hasa wahititimu wa vyuo ambao wapo mtaani hawana ajira.

5.Idadi ya vijana watakaopiga kura kwa mara bya kwanza wata vote kwa upinzani.

6.Migogoro iliyopo ndani ya CCM chini kwa chini iliyopelekea Nape, Makamba Jr,Mzee wetu Kinana kupigwa chini ni dalili tosha na nzuri ya kuwa hali ya hewa sio nzuri kabisa CCM.

7.Kitendo Cha Wamarekani ambao tunaamini ndo wakuigwa kuhusu women empowerment wamemkataa MWANAMKE kwa ajili ya jinsia yake mbali ya mengine.

8.Marekani wamerudia mara ya pili kumkataa Mwanamke, Walimkataa Hilal Clinton, na Jana wamekataa Harriss Kamala ambaye aligombea kutokea cheo Cha makamu wa Rais.

Sisi, Tanzania ni nani mpaka tukatae kujifunza jambo Jena kama hilo kutoka USA.

Salama ya CCM kwa kiasi kidogo ni kuja na jina tofauti, hasa la Kassimu Majaliwa, angalau kutakuwa na Mwanga kushindana na upinzani.

Slogan kuwa upinzani umekufa ni UONGO NA KICHAKA CA KUJIFARIJI.

mnakumbuka mlivyotumia nguvu kubwa kuzima Maandamano ya chama mnachosema kimekufa.

Kwa heshima na taadhima Mzee kikwete mshauri mama akapunzike Kizimkazi akalee wajukuu wake.

Samia Suluhu Hassan, nasikiaga unasomaga Jamii forum.

Nakuomba fanyia kazi ushauri wa kutogombea ili uondokane na aibu, zaidi ya hapo utatumia nguvu kubwa, kuua, kujeruhi, kupoteza watu,kutumbua,kwa ajili ya kulinda Urais.

Shime 2025 ni nafasi pekee ya mabadiliko, binafsi sijali sana chama, japo natamani opossition ishinde.

Lakini sio Samia, kumpa Urais ni kumpa nafasi ya kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali za Nchi.

Shime Watanzania tuilinde Tanzania dhidi ya wauza rasilimali za vizazi vijavyo

Tanzania kwanza, vyama , Dini, baadae.
🙏🙏
sapoters wa Kamala Haris ni mashoga, wasagaji, watoaji mimba maarufu na wanandoa wa jinsia moja na ndio maana wanatembelea kwenye uzi wa laana wengi wao hawazai na wala hawana watoto.

Kamala Haris kachapwa kiboko kitakatifu na Mungu aliechukizwa na utoaji mimba na ndoa za jinsia moja na mafirauni

Kumbaf sana alaa 🐒
 
Heshima kwenu wakuu.
Natanguliza conflict of Interest, 2025 Kassimu Majaliwa asipokuwa mgombea,basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta makamu wa Rais wa USA.

Hariss Kamala kagombea baada bya Rais Joe Biiden ku resign.
Wakati Samia kawa Rais kwa kurithi baada ya kifo Cha Kambale.

Mwakani Samia anatamani kugombea, CCM wanataka kutoa fomu Moja tu!!!

Tahadhari kwake Samia ya kuwa yataenda kumkuta yalomkuta Kamala Harris, japo sababu zitakuwa zinatofautiana kiasi flani.

1.Tanzaania, Afrika Kuna mfumo dume, hatapata kura nyingi za wanaume,ndani na nje ya wanna cm.

2.Asilimia kubwa ya waislamu ambao Mwanamke hawezi kuwa kiongozi wao hawatampa kura.

3.Idadi ya watanzania wanaojitambua hawawezi kumpa kura muuza rasilimali za nchi kama Bandari, mbuga za wanyama.

4.Kura za vijana hasa wahititimu wa vyuo ambao wapo mtaani hawana ajira.

5.Idadi ya vijana watakaopiga kura kwa mara bya kwanza wata vote kwa upinzani.

6.Migogoro iliyopo ndani ya CCM chini kwa chini iliyopelekea Nape, Makamba Jr,Mzee wetu Kinana kupigwa chini ni dalili tosha na nzuri ya kuwa hali ya hewa sio nzuri kabisa CCM.

7.Kitendo Cha Wamarekani ambao tunaamini ndo wakuigwa kuhusu women empowerment wamemkataa MWANAMKE kwa ajili ya jinsia yake mbali ya mengine.

8.Marekani wamerudia mara ya pili kumkataa Mwanamke, Walimkataa Hilal Clinton, na Jana wamekataa Harriss Kamala ambaye aligombea kutokea cheo Cha makamu wa Rais.

Sisi, Tanzania ni nani mpaka tukatae kujifunza jambo Jena kama hilo kutoka USA.

Salama ya CCM kwa kiasi kidogo ni kuja na jina tofauti, hasa la Kassimu Majaliwa, angalau kutakuwa na Mwanga kushindana na upinzani.

Slogan kuwa upinzani umekufa ni UONGO NA KICHAKA CA KUJIFARIJI.

mnakumbuka mlivyotumia nguvu kubwa kuzima Maandamano ya chama mnachosema kimekufa.

Kwa heshima na taadhima Mzee kikwete mshauri mama akapunzike Kizimkazi akalee wajukuu wake.

Samia Suluhu Hassan, nasikiaga unasomaga Jamii forum.

Nakuomba fanyia kazi ushauri wa kutogombea ili uondokane na aibu, zaidi ya hapo utatumia nguvu kubwa, kuua, kujeruhi, kupoteza watu,kutumbua,kwa ajili ya kulinda Urais.

Shime 2025 ni nafasi pekee ya mabadiliko, binafsi sijali sana chama, japo natamani opossition ishinde.

Lakini sio Samia, kumpa Urais ni kumpa nafasi ya kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali za Nchi.

Shime Watanzania tuilinde Tanzania dhidi ya wauza rasilimali za vizazi vijavyo

Tanzania kwanza, vyama , Dini, baadae.
🙏🙏
Msoga, Bumbuli na Mtama zinasemaje
 
Back
Top Bottom