Samia kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.

Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?

Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
 
D9 tuko barabarani mapema kabisa,,,lazima HAKI Itamalaki Tanzania...hawaamini macho yao
 
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.

Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?

Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
Amedhihirisha jeshi linatumika,mpaka kila kinachofanyika na haya majeshi ni maagizo yake
 
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.

Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?

Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
Wachawi wakikaribia kufa huropokq yote
 
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.

Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?

Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
Mkuu maswali gani unaendelea kujiuliza na kujijibu haya?

Tuseme, ulikuwa na mashaka juu ya amri za watekaji na wauaji hao maharamia wanakozitoa?

Umechelewa sana isee, Mungu vile!
 
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.

Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?

Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
Hilo huwa linajulika, Mafwele hawezi kuwa anaua, analawiti na anateka kiholela bila ya kuhojiwa hata seniors wake wanaogopa kuzungumzia hayo kama si uhusika wa moja kwa moja wa Samia/Abdul kwenye madhila yote hayo dhidi ya Watanganyika.
 
Kila ntu atachanganyikiwa kwa wakati wake, kila wanachogusa wanabofoa tu! Think tank ya mama yao ni mkumbo na mwegulu 😄

Mwegulu tuvushe (in mamadamu voice)😂😂
 
Aliamuru atafutwe kwa kosa gani, na amefunguliwa kanisa baada ya kusamehewa nini, na asirndelee kutafutwa kwa nini alichokua akitafutiwa nacho!? Hii haielezei ile sera ya maagizo kutoka juu!?
 
Ingependeza badala ya kumtuma madelu au mwingine angeita press akazungumza na wananchi watamuelewa tuu.
 
Back
Top Bottom