MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
polepole ni mnyamwezi wa tabora, sukuma gang hiyo.Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.
Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.
Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Akiwa mnyamwezi haruhusiwi kulima mkoani iringa?polepole ni mnyamwezi wa tabora, sukuma gang hiyo.
Nini ?Kawaida sana
Wacha weee.... Na umejiamini kabisa.... Ubalozi unafutwa tu ....Jf imeishiwa cheo cha ubalozi hakifutwi na rais Dr slaa anaendelea Kuwa balozi hadi anakufaaaaa someni katiba,miongozi ya kidunia
Haisaidii Kumfutia HadhiSimu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.
Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.
Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Nimecheka sana' anyway...Na anatumwa mtu ndani ya familia Yao ya CCM amalizane naye airport na baada ya wiki mbili mnapewa taarifaa amekimbizwa nairobiii pumbu ya kushoto imefeli ,ndani ya cku kazaa unasikia r.i.p pole poleπππ.....ila CCM π€
Wala hamjui vizuri huyo jamaa. Mama yake mdogo tunakaa naye hapa na dada yake yupo Iringa pia.Akiwa mnyamwezi haruhusiwi kulima mkoani iringa?
Kwa sasa Polepole anakwenda kuipasia CCM. Naiona Timu MaGUFuLi ikija kwa kasi ya F-16 aka game changer.Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.
Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.
Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Hapana. Hatamfutia kwasababu Rais Samia ni muumini mzuri sana wa 4R? Unazijua?Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.
Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.
Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.