Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
kabisa, nimemsikia jana yani she is very shallow. Ni haki amuogope Tundu Lissu.Ila tuseme tu ukweli mama ni mwepesi sana kwenye kampeni, yaani kama ingekuwa ni kipimo cha mtu kuchaguliwa ni uwezo wake wa kujenga hoja bila shaka angeshika nafasi ya mwisho.
Tatizo kuu la huyu mgombea ndio hilo. Yaani hana mdomo wa uongozi, bali mdomo wa kwenye vigodoro.Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani....sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen'zetuni...."
Amejizima data daah.Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani....sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen'zetuni...."