Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Dhamira inamsuta kwa anayoyafanya, na hapa anajikosha tu.
Sio akili mnemba kama mnavyosema pole pole
Watakuja wale wa kujidanganya kwamba watu wamesombwa😂
Na wenyewe wanamskiliza tu?Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani....sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen'zetuni...."
Similarly to competing against yourselfBi Mwenda amekuwa mama wa mipasho.
Pengine tumuite sasa Khadija Kopa wa Chamwino/Magogoni ,hajui kwa sasa hata kuwa anashindana na kivuli chake ?
Mlio karibu nae muulizeni kwani huo uchaguzi anaosema anashindana na nani?
Free Lissu.
No reforms no election.
Chadema wamefanya kosa kubwa sana la kisiasaMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani....sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen'zetuni...."
Kawambia Wana bahati sana kwa uwepo wake kwao.hizi ni dharau kwa wana morogoro...
kuna namna anaona watu wa moro hawana uwezo wa kuchambua mambo...