Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
533
Reaction score
930
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!

Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
 
Habari za ndani ya kapeti zipo JF !?
 
Kwa Tanzania hii iliyosheheni mafurushi ya chawa, utasubiri sana!
 
Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?

Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.

Muda utasema.
Mkuu hakuna lolote. Hizi ni propaganda na huenda zinaenezwa na TISS. Yaani kwa kutumia akili ndogo tu utaona kuwa kama ni mabadiliko yangeshatokea tangu mwanzoni.
 
Back
Top Bottom