Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Mbona ni neno la kawaida sana kwenye lugha ya kiingereza? Anyways, bila wananchi wenyewe kuamka hakuna kitakachobadilika. Watu wanasema JW utadhani hawana midomo ya kula. KUna watu wanapenda fedha kama JW?
Hapa tunarudi kwenye ushauri wa Gwajima.

Wanajua wakionekana kutounga mkono watatumbuliwa au mbaya zaidi, kwa vyombo vya usalama unaweza ukakabiliwa na capital punishment.
 
Hapa tunarudi kwenye ushauri wa Gwajima.

Wanajua wakionekana kutounga mkono watatumbuliwa au mbaya zaidi, kwa vyombo vya usalama unaweza ukakabiliwa na capital punishment.
Jeshi kama wanakubalina wale majenerali wa juu hakuna wa kuwafanya kitu. Tatizo la Bongo ni kuwa hao wenye nafasi za juu wote wana maisha mazuri sana na hawaathiriki na u-hovyo wa serikali
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!

Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Mfano wewe nikisema unatakiwa uende alipo Saanane utalalamika?
 
Back
Top Bottom