Tatizo la nchi hii sio Samia peke yake ni mfumo mzima wa ccm. Hata maraika akiwa raisi kupitia ccm hata kuwa tafauti na Samia. Kwani utawala wa samia umefanya kitu gani kipya ambocho , awamu nyingine hazikufanya?👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu, wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
Dr. Nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo, kukinusuru chama!
Mtu mzalendo anatakiwa kushika nafasi hiyo! Ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌