Ipyana hajawahi kugombea na Nchimbi.Ipi alishinda UV CCM.Au wewe ni wa juzi?Ni mwaka 2000 kama sikosei maana nilikuwa secondary school kipindi hicho.
Kijana siku hizi umekuwa na akili kubwaFafanua mkuu. QUP ni nini?
Mwaka 2002,na alishinda Dar na ilikuwa agombee Taifa. Nilikuwa form two .Sasa wakasema Nchimbi kamfanyia ubaya ,maana Nchimbi hakupenda vijana walioonyesha kumpelekea moto,hata Amina Chifupa pia.Alionekana kuleta unpinzani kwa Nchimbi UV CCM.Ipyana hajawahi kugombea na Nchimbi.
Chadema mmesema hamna uchaguzi sasa nchimbi agombee uchaguzi gani?Mchengerwa na Abdul hawatakubali
Uongo upi sasa?habari ndio hiyoooo na itapokelewa kwa nderemooouongo utakuua
Kuuza maliasili za nchi,Tatizo la nchi hii sio Samia peke yake ni mfumo mzima wa ccm. Hata maraika akiwa raisi kupitia ccm hata kuwa tafauti na Samia. Kwani utawala wa samia umefanya kitu gani kipya ambocho , awamu nyingine hazikufanya?
Tunajifariji 🤣🤣🤣 ila kiukwei kutoka uvungu wa moyo wangu natamani iwe kweli.Watu wanapenda sana kuambiwa yale maneno ambao masikio yao yanapenda.
2001 ulikuwa form two, mimi nina family tayari.Mwaka 2001,na alishinda Dar na ilikuwa agombee Taifa. Nilikuwa form two .Sasa wakasema Nchimbi kamfanyia ubaya ,maana Nchimbi hakupenda vijana walioonyesha kumpelekea moto,hata Amina Chifupa pia.Alionekana kuleta unpinzani kwa Nchimbi UV CCM.
Mkuu code zako ni muhimu sana ....July Kuna mambo
Ni ngumu kumbadilisha namna Hiyo labda itumike ile QUP wanayopanga hapo kisota
Britanicca,
Hizi zitabaki kuwa tetesi tu.Swali: Kwanini serikali haitoa ufafanuzi sababu ya Bunge kuvunjwa tarehe 03/08/2025 licha ya hizi tetesi zinazoendelea?
Hapa si bure, huu ukimya wa serikali una jambo nyuma yake.
Muda utasema.
Anyways kwa miaka ya sasa, mapinduzi siyo jambo zuri kwa sababu yanaleta tawala nyingine mbovu zaidi.Mkuu, wale majenerali wa juu wakubaliane nini? Labda mapinduzi, na hata hivyo wanaohusika kwenye coup mara nyingi sio majenerali.
Sababu ni kwamba majenerali hawana vikosi, wanakaa makao makuu, wenye vikosi ni makanari, muda mwingine hadi makapteni.