Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Alivyo na tamaa mzanzibar yule, anataka yeye tu ndio anafaa. Angeruhusu mchakato watu wachukue fomu yeye asimamie zoezi watu wapige kazi....aache tamaa tu sababu hata uzalendo hana kutukana wabeba mabango tu na mipasho ndio anazimudu😋
Pawa ya msraafum pale ni mstaafu alisukuma kete moja akala nyingi hadi KING. Wstu walipigwa sapraiz kwa kumpitisha mgombea kwa kuwapiga wengine chenga za visigino
 
IMG_20250413_214953.jpg
 
Wapinduane wasipindueni haitusaidii chochote hata wakiuana ni sawa tu na wao watakuwa wamejiteka na kujiua wenyewe.
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌

View attachment 3388499
JWTZ ambayo mkuu wake ana ndugu Rwanda upande wa baba yake ? Huu ni uwongo na propaganda labda ungesema ndani ya chama wao kwa wao.
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌

View attachment 3388499
Embu mkuwe jamani hayo mambo mnayoongea hayawezekani, bunge linavunjwa rasmi na sheria august 3, huo ni utaratibu wa kawaida miaka yote illi kukidhi matakwa ya sheria, uzushi uzushi sio harakati ni ujinga
 
Kukinusuru chama? Kwani chama kina mshindani gani tena wakati CHADEMA haitashiriki uchaguzi?
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌

View attachment 3388499
Mkosa akili ww ,Dr Samia ni mzalendo sana
1:sio fisadi
2:kaleta ajira
 
Back
Top Bottom