Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
CCM hawawezi kuwa wazigawa baiskeli na vipodozi vyenye bendera ya CCM huku wakiwa na mgogoro wa chini kwa chini.👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
isipokuwa kama kuna makundi mawili makubwa yanoshindana kwa sasa.
Dalili za kuwepo kwa makundi makubwa mawili ni Luhaga Mpina na Askofu Gwajima ambao hadi leo hawajaathirika na pilikapilika za Abduli na shemeji mtu.
Kundi moja laonekana kuzidi kushika nguvu kubwa.