Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

TOKA MAKTABA :

Uelewano wa Dr. Emmanuel Nchimbi na vyombo vya ulinzi na usalama pia ikiwemo mkuu wa usalama:

Brasil, Brazil hadi St. Peter's Oysterbay


Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Suleiman Mombo.




13 September 2024

SAKATA LA UTEKAJI CCM WATOA TAMKO KUPITIA NCHIMBI, WACHUKIZWA NA KAULI ZA CHADEMA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=wzhd5pVK0zs

Dr. Emmanuel Nchimbi na Suleiman Mombo wameishi jijini Brasil katika ubalozi wa Tanzania. Wameona na kusikia makundi ya kihalifu kule Ecuador, El Salvador na mataifa kadhaa ya bara la Latino Amerika ambayo yalikuja kuwa hatari siyo kwa raia tu bali hata serikali zilizo madarakani.

Ukaribu wa Katibu mkuu Emmanuel Nchiimbi na Mkuu wa Usalama wa Taifa Suleiman Mombo ni lulu ambayo ikitumika kwa uzuri na nia njema ya kukipata kikundi hiki cha wasiojulikana ni wakati huu wa sasa.

Dr. Emmanuel Nchimbi na mkuu Sukeiman Mombo waielekeze hali hiyo ya kuchukizwa kwa Kundi la Watu Wasiojulikana watumie ushawishi wao, rasilimali za serikali na waajiriwa safi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuweza kuwatia mbaroni watu hawa wasiojulikana na kutupa umma mrejesho wa mafanikio ya kazi waliyopewa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais wa JMT kuwasaka haraka watu hawa wanaoleta hofu kwa kuteka na kuua watu.
.PICHA TOKA MAKTABA :

Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.

Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais

1740795570402.jpeg


13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence.

Hapa namwona mwandamizi kama aliingia mzigoni yeye mwenyewe kurekodi matukio kimyakimya?
Screenshot_20250629-190410.png
 
Za ndaaaaaaaaani zaidii, imefahamika kuwa Kuna kikundi kimeandaliwa ku-publish mambo mengi ni ya kuzua sintofahamu kwa lay Tanzanians tuanapoelekea katika uchaguzi mkuu.
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌


View attachment 3388499
Ni good news japo sìjui kama itakuwa ni za kweli.
 
Rebellion (kuasi)ndani ya chama dola kongwe tawala ipo sana :

TOKA MAKTABA

11 Julai 2015
Dk. Emmanuel Nchimbi asoma taarifa ya rebellion mbele ya Media kwa akitoa msimamo wa kundi lao la waasi kutokubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM ya kuwateuwa majina ya wagombea watano waliotia nia urais kwa tiketi ya CCM

View: https://m.youtube.com/watch?v=lrVCUN0GQCE

21 September 2015
Waasi ndani ya CCM wakionesha kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati Kuu CC ya CCM
CCM wakiimba --Tuna imani na LowassaCCM mbele kwa mbele. Kingunge akiwa Arusha


View: https://m.youtube.com/watch?v=xAq-winQLtU

Hapa kasim majaliwa asijue upande wa kushika 😁😁😁 jenista mhagama vile vile😁😁
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌


View attachment 3388499
Hayo yanawahusu wenyewe huko CCM. Hayatuhusu sisi wananchi kwa ujumla wetu

Pamoja na hayo yote, watambue kuwa movement ya NO REFORMS NO ELECTION haingalii ni nani atakuwa mgombea huko CCM....

Awe ni Chura Kiziwi Samia Suluhu Hassan au hata wakamfufue Magufuli au Mkapa, mbele ya uchaguzi huru, wazi na haki unaosimamiwa na Tume huru isiyofungamana na chama chochote, hakuna mgombea wa CCM atakayekatiza hata kama CHADEMA wataweka jiwe achilia mbali mpakwa mafuta wa Bwana, Tundu Lissu...!!

Focus ya wananchi kwa sasa, Kwanza kabisa ni mabadiliko ya kikatiba na kisheria yatakayoleta mabadiliko ktk mfumo mzima wa chaguzi zetu kuzifanya kuwa ni chaguzi huru, haki, wazi na za kuaminika...

Nani ni nani huko kwenye chama chakavu hicho, is not our business...
 
Jeshi kama wanakubalina wale majenerali wa juu hakuna wa kuwafanya kitu. Tatizo la Bongo ni kuwa hao wenye nafasi za juu wote wana maisha mazuri sana na hawaathiriki na u-hovyo wa serikali
Tatizo hawa wa rank za chini na kati wanangoja kutelekeza amri tu iwe halali au mbaya ndio tafsiri yao ya uzalendo.
Waambie kupiga kunguru kwa malipo ya Dollar 💰 au kupiga raia wakigombea kiungo cha kike au kuvaa kombati zao.... Hapo utaziona namba zao. 😆
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌


View attachment 3388499
Kwamba kumtaka mtu mzalendo
 
Akina nani wazalendo? JWTZ?

Hata wakiwa wazalendo vipi, wameapa kutii maagizo ya raisi, hawawezi kwenda kinyume na anavyotaka.
Sio kweli fanyia ujinga maeneo yote ila Hawa ndio wenye nnchi yao kwani hujifunzi kwa Ibrahim traore
 
Watanzania tupo kama mazezeta Fulani hivi. Tunabweka bweka tu kuilaumu serikali na watawala lakini hatuchukui hatua.
Tukiwa mtandaoni tunabweka kuwachukia watawala, lakini hao watawala wakiitisha mikutano mnaenda na mnajaa kama sisimizi, HIVI HAMNA KAZI ZA KUFANYA???

Mnasema JWTZ, TISS n.k ndo wataleta ukombozi, wakati huo hao wanaleta ukombozi nyie raia mtakuwa mnafanya nini?? Yaani umekalisha matako yako unasubiri watu wangine wakuketee ukombozi??? Huko Kenya wanaoleta shinikizo la mabadiliko ni vyombo vya usalama au Raia?? Usikute hapo JWTZ wanasubiri raia mkiamshe wao waunge mkono sema raia ndo zimekaa kishoga shoga hazijielewi

Chadema kutwa wanapambana wakipigania mabadilko na ukombozi, angalia raia Sasa wanaopiganiwa, wapo wapo tu kama ******* ******* Fulani hivi.

Pumbavu matako yenu
Ila we jamaa 😂
 
👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌

👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌


View attachment 3388499
Nyumbu unajidanganya
 
Mwaka huu Watauana sana
Kwani huyu architect wa kila kitu katika nchi hii anasemaje? Mwanawe na mkewe watapata vyeo gani Nchimbi akichukua usukani? Atapata bilioni ngapi yeye kama yeye?

IMG-20250622-WA0053.jpg
 
Mzalendo?
Kunusuru chama ama nchi?
Watanzania ni watu wa aina gani?☹️
 
Back
Top Bottom